Maarifa ya Jamii Darasa la VI Syllabus

    1. Utunzaji wa Mazingira
      1. Maana ya Mazingira
      2. Faida za Mazingira
      3. Utunzaji wa Mazingira
      4. Uharibifu wa Mazingira
      5. Kuzuia Uharibifu wa Mazingira
    2. Kutunza Kumbukumbu katika Matukio ya Kihistoria
      1. Matukio ya Kijamii
      2. Njia ya Kutunza Matukio ya Kijamii
    3. Elimu ya Hali ya Hewa katika Mazingira ya Kila Siku
      1. Dhana ya Hali ya Hewa
      2. Mabadiliko ya Hali ya Hewa ya Mvua
    1. Kufahamu mfumo wa jua
      1. Kufafanua dhana ya kupwa na kujaa
      2. Kufafanua kupatwa kwa mwezi na jua
      3. Kuchambua dhana ya dunia kulizunguka jua
      4. Kufafanua mizunguko ya dunia
      5. Kujadili mfumo wa jua
    2. Kufahamu mfumo wa jua (katika mazingira yanayomzu nguka)
      1. Kufafanua vitu vinavyounda mfumo wa jua
    3. Kutumia stadi za ujasiriamali katika shughuli za kila siku
      1. Kuainisha fursa zilizopo katika mazingira yenye madini, mbuga za wanyama na misitu.
    4. Kutumia ramani katika mazingira
      1. Kuchora na kusoma ramani ya Tanzania
      2. Kuchora ramani ya kijiji/mtaa na wilaya
      3. Kuchora na kusoma ramani ya mkoa anamoishi
      4. Kutumia pande nane za dunia
    5. Kutumia ramani katika mazingira mbalimbali
      1. Kuchora ramani za vitu mbali mbali shuleni
      2. Kubainisha vitu halisi vilivyomo darasani
    6. Kutumia stadi za ujasiriamali katika shughuli za jamii
      1. Kufafanua vikwazo katika kutambua fursa zilizopo katika mazingira
      2. Kuelezea dhana ya ujasiriamali
    7. Kutambua shughuli za uzalishaji mali katika jamii
      1. Kufafanua vikwazo katika uzalishaji mali
      2. Kuchambua shughuli za uzalishaji mali zinavyochochea uhusiano baina ya Tanzania na nchi nyingine
      3. Kutathmini shughuli za uzalishaji mali zilizopo sasa nchini Tanzania
    8. Kuthamini na kulinda rasilimali za nchi
      1. Kuelezea njia za kushiriki katika kulinda rasilimali zetu
      2. Kuchambua rasilimali zilizopo Tanzania
    1. Kuthamini mashujaa wetu katika jamii
      1. Kutathmini mchango wa mashujaa wa Afrika
      2. Kuchambua mashujaa wa Afrika
      3. Kutathmini harakati za ukombozi zilizopo sasa katika jamii zetu (kiuchumi, kisiasa, kijamii, na kiutamaduni)
    2. Kujenga uhusiano mwema kwa jamii inayomzun guka
      1. Kufafanua njia za kuimarisha uhusiano baina ya Tanzania na nchi nyingine za Afrika
      2. Kuchambua uhusiano baina ya Tanzania na nchi za Afrika
    3. Kudumisha utamaduni wa Mtanzania
      1. Kufafanua umuhimu wa utamaduni katika jamii
      2. Kuchambua utamaduni wa Mtanzania
    1. Kuthamini mashujaa wetu
      1. Kuchambua mashujaa wa Afrika waliopinga uvamizi wa nchi zao
      2. Kufafanua mchango wa viongozi wakuu wa Serikali ya Tanzania tangu uhuru
      3. Kuainisha uvamizi uliopo sasa katika nchi za Afrika
      4. Kubainisha viongozi wakuu wa Serikali ya Tanzania tangu uhuru
    2. Kujenga uhusiano mwema kwa jamii inayomzu nguka
      1. Kufafanua uhusiano wake na rafiki zake
      2. Kuchambua dhana ya familia
    3. Kujenga uhusiano mwema kwa jamii inayomzu nguka.
      1. Kufafanua matokeo ya uhusiano baina ya Tanganyika na nchi za Ulaya hadi 1961
      2. Kuchambua mbinu zilizotumika kuanzisha uhusiano baina ya Tanganyika na nchi za Ulaya hadi 1961.
      3. Kuchambua uhusiano baina ya Tanzania na nchi za Ulaya hadi mwaka 1961.
    4. Kudumisha utamaduni wa Mtanzania
      1. Kuainisha vielelezo vyote vya utamaduni
      2. Kucheza na kuimba nyimbo za utamaduni zinazo fahamika
      3. Kuonyesha matendo ya kusalimiana ya makabila ya kitanzania