Sayansi Darasa la VI Syllabus

    1. Mazingira
      1. Alama za Tahadhari katika Mazingira
      2. Matumizi ya Alama za Tahadhari
    2. Nishati
      1. Kuzalisha Umeme kwa Mawimbi ya Maji
      2. Uzalishaji wa Umeme kwa Njia ya Joto la Ardhi
      3. Nishati Yadidifu
    3. Nadharia ya Kisayansi na Kiteknolojia
      1. Kanuni za Kuelea kwa Vitu Kwenye Maji na Vyombo vya Usafiri
      2. Sifa ya Vitu Vinavyoelea/Kuzama kwenye Maji
      3. Kanuni ya Archimedes
    1. Kanuni za Usafi na Kanuni za Afya
      1. Faida za Kuteketeza Taka
      2. Hatua za Kuteketeza Taka
      3. Dhana ya Tanuru la Kuchomea Taka
    2. Afya Bora
      1. Mlo Kamili
      2. Mazoezi ya Mwili
      3. Madhara ya kutofanya Mazoezi
    3. Mfumo wa Mwili wa Binadamu
      1. Kazi za Milango ya Fahamu
      2. Kasoro zinazoathiri Mfumo wa Fahamu wa Binadamu
      3. Utofauti wa Sehemu Mbalimbali za Mfumo wa Fahamu
      4. Mfumo wa Upumuaji
      5. Sababu za Kutokea Kasoro katika Mfumo wa Upumuaji na njia za Kupokea