Maarifa ya Jamii

Kutambua misingi ya uzalendo katika jamii
♿ Accessibility: | | | |

Kutambua misingi ya uzalendo katika jamii

Kuthamini mashujaa wetu
Kuchambua mashujaa wa Afrika waliopinga uvamizi wa nchi zao
Kufafanua mchango wa viongozi wakuu wa Serikali ya Tanzania tangu uhuru
Kuainisha uvamizi uliopo sasa katika nchi za Afrika
Kubainisha viongozi wakuu wa Serikali ya Tanzania tangu uhuru
Kujenga uhusiano mwema kwa jamii inayomzu nguka
Kufafanua uhusiano wake na rafiki zake
Kuchambua dhana ya familia
Kujenga uhusiano mwema kwa jamii inayomzu nguka.
Kufafanua matokeo ya uhusiano baina ya Tanganyika na nchi za Ulaya hadi 1961
Kuchambua mbinu zilizotumika kuanzisha uhusiano baina ya Tanganyika na nchi za Ulaya hadi 1961.
Kuchambua uhusiano baina ya Tanzania na nchi za Ulaya hadi mwaka 1961.
Kudumisha utamaduni wa Mtanzania
Kuainisha vielelezo vyote vya utamaduni
Kucheza na kuimba nyimbo za utamaduni zinazo fahamika
Kuonyesha matendo ya kusalimiana ya makabila ya kitanzania
Listening to this topic