Maarifa ya Jamii
Kutumia ramani na elimu ya anga katika maisha ya kila siku
Kutumia ramani na elimu ya anga katika maisha ya kila siku
Kufahamu mfumo wa jua
Kufafanua dhana ya kupwa na kujaa
Kufafanua kupatwa kwa mwezi na jua
Kuchambua dhana ya dunia kulizunguka jua
Kufafanua mizunguko ya dunia
Kujadili mfumo wa jua
Kufahamu mfumo wa jua (katika mazingira yanayomzu nguka)
Kufafanua vitu vinavyounda mfumo wa jua
Kutumia stadi za ujasiriamali katika shughuli za kila siku
Kuainisha fursa zilizopo katika mazingira yenye madini, mbuga za wanyama na misitu.
Kutumia ramani katika mazingira
Kuchora na kusoma ramani ya Tanzania
Kuchora ramani ya kijiji/mtaa na wilaya
Kuchora na kusoma ramani ya mkoa anamoishi
Kutumia pande nane za dunia
Kutumia ramani katika mazingira mbalimbali
Kuchora ramani za vitu mbali mbali shuleni
Kubainisha vitu halisi vilivyomo darasani
Kutumia stadi za ujasiriamali katika shughuli za jamii
Kufafanua vikwazo katika kutambua fursa zilizopo katika mazingira
Kuelezea dhana ya ujasiriamali
Kutambua shughuli za uzalishaji mali katika jamii
Kufafanua vikwazo katika uzalishaji mali
Kuchambua shughuli za uzalishaji mali zinavyochochea uhusiano baina ya Tanzania na nchi nyingine
Kutathmini shughuli za uzalishaji mali zilizopo sasa nchini Tanzania
Kuthamini na kulinda rasilimali za nchi
Kuelezea njia za kushiriki katika kulinda rasilimali zetu
Kuchambua rasilimali zilizopo Tanzania
Listening to this topic