Hisabati Darasa la VI Syllabus

    1. Kutumia stadi za takwimu kuwasilisha taarifa mbalimbali
      1. Kufumbua mafumbo yanayohusu grafu kwa duara
      2. Kuchora grafu kwa duara
      3. Kusoma na kutafsiri grafu kwa duara
    2. Kutumia stadi za aljebra kutatua matatizo katika maisha ya kila siku
      1. Kufumbua mafumbo yanayohusu milinganyo sahili
      2. Kukokotoa milinganyo sahili
    1. Kutumia stadi za takwimu kuwasilisha taarifa mbalimbali
      1. Kuandika idadi ya vitu kutokana na takwimu kwa picha
      2. Kusoma na kutafsiri takwimu kwa picha
    1. Dhana ya Namba
      1. Kuhesabu Hadi 99999
      2. Kusoma Hadi 99999
      3. Kuandika Hadi 9999 kwa Tarakimu
      4. Kuandika Namba kwa Maneno hadi 99999
      5. Thamani ya Tarakimu katika Namba
      6. Kugawanya
      7. Sehemu
      8. Namba za Kirumi I - L
    1. Stadi za Mpangilio Kufumbua Mafumbo
      1. MAGAZIJUTO
      2. Uwiano
      3. Kipeuo cha pili