Uraia na Maadili Darasa la VI Syllabus
-
-
Kujenga urafiki mwema na mataifa mengine
-
Kuainisha uhusiano wa Tanzania na nchi nyingine
-
Kutambua jumuiya za ushirikiano wa kimataifa
-
-
Kuheshimu tofauti za kiutamaduni na mitazamo miongoni mwa watu wa jamii tofauti
-
Kubainisha mikakati ya kukabiliana na athari za utandawazi
-
Kueleza umuhimu wa kujenga umoja wa kitaifa katika jamii zenye tamaduni tofauti
-
Kueleza njia za kujenga uhusiano mzuri baina ya watu wenye tamaduni tofauti
-
-
Kucha ngamana na watu wenye asili tofauti
-
Kueleza mipaka ya ushiriki wa watu wenye asili tofauti katika mambo ya kijamii
-
Kueleza haki ya uhuru wa kuishi kwa raia yeyote nchini Tanzania
-
Kufafanua umuhimu wa kudumisha uhusiano ya kibiashara, utamaduni na michezo kwa watu wa asili tofauti
-
-
-
-
Kusimamia haki
-
Kufafanua mihimili mitatu ya serikali
-
Kutofautisha mamlaka na majukumu ya serikali ya Kijiji/Mtaa, Kata, Wilaya, Mkoa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
-
Kushirikiana na vikundi vya kijamii kutetea haki za binadamu
-
Kuelimisha watu wengine kuepuka mila na desturi zinazokiuka haki za binadamu
-
Kuainisha mila na desturi zinazokiuka haki za binadamu
-
-
Kutimiza majukumu yake kwa uwazi na ukweli
-
Kufichua maovu yanayo husiana na ubadhirifu na ufisadi katika utekelezaji wa majukumu
-
Kuonesha tabia ya kupiga vita unafiki katika maisha
-
Kuthibitisha kauli ya ukweli kwa mifano dhahiri katika maisha ya kila siku
-
-
Kuaminika katika jamii
-
Kuonesha tabia ya kujiepusha na matendo yenye kuharibu mahusiano mazuri baina ya watu
-
Kutathmini utekelezaji wa wajibu wake
-
-
-
-
Kujifunza kwa kuchanganua mambo kiyakinifu
-
Kuonesha tabia ya ushirikiano na watu wengine katika kujifunza
-
Kutathmini uwezo wake katika kujifunza na kuboresha utendaji
-
Kudadisi na kujifunza kwa kutumia mazingira
-
-
Kufikia malengo aliyojiwekea kwa kuwa na mtazamo chanya
-
Kuboresha utendaji katika kufikia malengo aliyojiwekea
-
Kuonesha tabia ya kujifunza na kutenda kwa kutumia uzoefu wa wengine katika kufikia malengo
-
Kupanga mpango mkakatiunao tekelezeka katika kufikia malengo
-
Kuonesha tabia ya uthubutu katika kufikia malengo aliyojiwekea
-
-
Kuvumilia katika maisha ya kila siku
-
Kuonesha tabia ya kuishi kwa matumaini na kukiri ushindi dhidi ya mabadiliko
-
Kuhamasisha wengine kukabiliana na changamoto za kimaisha kwa kutumia uzoefu wake
-
Kufanya matendo yaliyo ndani ya uwezo wake kuhimili changamoto inayomkabili
-
-
-
-
Kushirikiana katika kutekeleza majukumu ya nyumbani na shuleni
-
Kushirikiana na wanajamii katika shughuli za kimaendeleo
-
Kutambua faida za kushirikisha watu wengine na hasara za kutoshirikisha wengine katika utekelezaji wa majukumu
-
-
Kuwa na nidhamu binafsi
-
Kufanya maamuzi kwa wakati katika kutekeleza majukumu
-
Kutetea msimamo wake kwa hoja
-
Kubainisha vipaumbele vyake katika masomo na kuvizingatia
-
-
Kutii sheria na kanuni katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku
-
Kutathmini hatua zinazo chukuliwa kudhibiti uvunjifu wa sheria na kanuni shuleni
-
Kuhoji sheria na kanuni zinazotumika
-
Kuoanisha utekelezaji wa kanuni katika maisha
-
Kutambua kanuni za nchi na kuzifuata
-
-
Kusimamia majukumu yanayomhusu nyumbani na shuleni
-
Kupendekeza njia za uboreshaji utendaji wa kazi
-
Kubaini njia mbadala za kutatua matatizo
-
Kutambua majukumu ya kiongozi katika ngazi ya shule na familia
-
-
Kulinda rasilimali na maslahi ya nchi
-
Kupambanua sifa za kiongozi anayefaa kuchaguliwa katika ngazi ya Taifa
-
Kufanya vitendo vya kulinda usalama wa Taifa
-
Kubaini njia za kupambana na matumizi mabaya ya mali ya umma
-
Kutumia vipaji na uwezo wake kubuni shughuli zenye kuleta mae ndeleo
-
-
-
-
Kujenga uhusiano mzuri na watu wengine katika jamii
-
Kutatua migogoro miongoni mwa wanafunzi wenzake
-
Kufanya vitendo vinavyo dumisha urafiki mwema na wenzake
-
Kueleza vitendo vinavyoashiria uvunjifu wa maelewano katika jamii
-
-
Kutunza mazingira na vilivyomo
-
Kukemea ukiukwaji wa kanuni zinazotunza mazingira
-
Kufafanua njia bora za kuzuia uharibifu wa mazingira
-
-
Kujijali na kuwajali wengine
-
Kutenda matendo kwa kuzingatria usawa
-
Kuwatanguliza watu wenye uhitaji wa haraka kupata huduma
-
Kuomba ushauri pale inapohitajika
-
Kufanya vitendo vinavyo wavutia wenzake kujiepusha na tabia hatarishi
-
Kukemea vitendo vinavyoweza kuhatarisha ustawi wa jamii
-
-
-
-
Kuipenda Tanzania kwa kuenzi tunu mbalimbali za nchi na asili yake
-
Kufafanua utekelezaji wa demokrasia nchini
-
Kueleza dhamira ya siku kuu za kitaifa.
-
ubainisha muundo wa uongozi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
-
Kueleza umuhimu wa tunu za Taifa
-
Kufafanua njia mbalimbali za kuitangaza nchi yake ya Tanzania
-
-
Kujipenda na kuwapenda watu wengine
-
Kuonesha matendo mema na ya heshima
-
Kuthamini mchango wa watu wengine katika ustawi wa jamii
-
Kuonesha tabia ya kupenda kutoa msaada kwa watu wenye mahitaji mbalimbali
-
-
Kuipenda na kujivunia shule yake
-
Kutunga nyimbo/ ngonjera/ mashairi ya kuisifu shule yake
-
Kueleza ujumbe uliomo katika kauli mbiu na wimbo wa shule yake
-
-