Maarifa ya Jamii Darasa la III Syllabus
-
-
Kutumia stadi za ujasiriamali katika shughuli za kila siku
-
Kubainisha shughuli za uzalishaji katika maeneo yenye maziwa, bahari, pamoja na shehemu zenye miji wafugaji na viwanda
-
-
Kutambua shughuli za uzalishaji mali katika jamii
-
Kufafanua njia za kuboresha shughuli za uzalishaji mali
-
Kutofautisha shughuli za uzalishaji mali zilizokuwepo kabla na baada ya uhuru
-
-
Kuthamini na kulinda rasilimali za nchi
-
Kufafanua mikakati ya kulinda rasilimali za mkoa anamoishi
-
Kuainisha rasilimali zilizopo katika mkoa anamoishi
-
-
-
-
Kutambua shughuli za uzalishaji mali katika jamii
-
Kubainisha shughuli za uzalishaji mali katika kijiji/ mtaa na kata anamoishi.
-
-
Kuthamini na kulinda rasilimali za nchi
-
Kutathimini rasilimali zilizopo katika Wilaya anamoishi
-
Kuchambua njia za kutunza na kulinda rasilimali katika kijiji/ mtaa na kata anamoishi
-
Kuanisha rasilimali zilizopo katika kijiji/ mtaa na kata anamoishi
-
-
-
-
Rasilimali za Nchi
-
Idadi ya Watu na Makazi na Athari zake katika shughuli za uzalishaji mali
-
-
Shughuli za Uzalishaji Mali katika Maendeleo ya Jamii
-
Shughuli za Kiuchumi na Faida zake katika Nchi za Afrika Mashariki
-
Shughuli za Utalii zilizopo Afrika Mashariki, mchango wake katika Uchumi
-
-
Ujasiriamali
-
Mchango wa Ujasiriamali katika ukuaji wa uzalishaji mali
-
Fursa katika njia za uchukuzi katika mazingira yetu
-
Madhara ya njia zisizo halali za ujasiriamali na namna zinavyoathiri maendeleo ya jamii
-
-
-
-
Kulinda Rasilimali za Nchi
-
Rasilimsli zilizopo katika Kijiji
-
Njia za Kutunza Rasilimali za Nchi katika Kijiji na Wilaya
-
-
Shughuli za Uzalilishaji Mali katika Jamii
-
Shughuli Mbalimbali za Walishaji Mali
-
Vikwazo
-
Fursa Zilizopo katika Madini, Mbuga za Wanyama na Misitu
-
-