Uraia na Maadili Darasa la III Syllabus

    1. Kujenga urafiki mwema na mataifa mengine
      1. Kutambua nchi rafiki na Tanzania
      2. Kutofautisha rafiki anayefaa na asiyefaa
    2. Kuheshimu tofauti za kiutamaduni na mitazamo miongoni mwa watu wa jamii tofauti
      1. Kukemea mila na desturi potofu
      2. Kuonesha tabia ya kujifunza tamaduni za makabila tofauti
      3. Kueleza dhana ya utamaduni
    3. Kuchangamana na watu wenye asili tofauti
      1. Kutenda matendo yenye kudumisha upendo na amani miongoni mwa watu wa asili tofauti
      2. Kufanya kazi pamoja bila kujali tofauti za asili ya mtu
      3. Kutambua asili ya watu waishio Tanzania
    1. Kusimamia haki
      1. Kueleza matendo yasiyo ya haki anayo fanyiwa mtoto
      2. Kueleza haki za binadamu
      3. Kutambua wajibu na haki za mtoto
    2. Kutimiza majukumu yake kwa uwazi na ukweli
      1. Kuonesha tabia ya kuwa mkweli na muwazi
    3. Kuaminika katika jamii
      1. Kutambua matendo ya usaliti
      2. Kueleza vitendo vinavyovunja uaminifu
      3. Kutenda matendo yanayojenga tabia ya uaminifu
    1. Kujifunza kwa kuchanganua mambo kiyakinifu
      1. Kujifunza maarifa mapya kwa kudadisi mambo mbalimbali
    2. Kufikia malengo aliyojiwekea kwa kuwa na mtazamo chanya
      1. Kuonesha tabia ya kufanya kazi na kumaliza kwa wakati
    3. Kuvumilia katika maisha ya kila siku
      1. Kuwasiliana kwa lugha inayofaa pindi anapoudhiwa
      2. Kufanya vitendo vya kuwavumilia watu wenye haiba tofauti
      3. Kuonesha tabia ya kuwakubali watu wengine jinsi walivyo
    1. Kushiriki- ana katika kutekeleza majukumu ya nyumbani na shuleni
      1. Kushirikiana na wenzake katika kufanya shughuli za shuleni na nyumbani
    2. Kuwa na nidhamu binafsi
      1. Kupenda kujisomea
      2. Kujituma katika kazi kwa uwezo wake wote bila ya usimamizi
      3. Kupangilia kazi zake anazofanya
    3. Kutii sheria na kanuni katika kutekeleza majukumu yake kila siku
      1. Kufuata sheria na kanuni za shule
      2. Kufahamu sheria na kanuni za shule
    4. Kusimamia majukumu yanayomhusu ya nyumbani na shuleni
      1. Kusimamia kazi mbalimbali shuleni na nyumbani
      2. Kutekeleza majukumu yake ya shuleni na nyumbani
    5. Kulinda rasilimali na maslahi ya nchi
      1. Kulinda na kutunza rasilimali zilizopo katika mazingira
      2. Kutambua rasilimali zilizopo katika mazingira yanayo mzunguka
    1. Kuipenda Tanzania kwa kuenzi tunu za nchi na asili yake
      1. Kutambua asili ya nchi ya Tanzania
      2. Kutambua tunu za Taifa la Tanzania
      3. Kutambua alama za Taifa
    2. Kujenga uhusiano mzuri na watu wengine katika jamii
      1. Kushiriki katika kutatua tatizo alilonalo rafiki yake
      2. Kuwasiliana vyema na wenzake ndani na nje ya darasa
    3. Kutunza mazingira na vilivyomo
      1. Kutunza vyanzo vya maji
      2. Kuthamini mimea na wanyama
      3. Kutambua mazingira yanayo mzunguka
    4. Kujijali na kuwajali wengine
      1. Kumsaidia mtu mwenye uhitaji
      2. Kuepuka vitendo vinavyoweza kuhatarisha usalama wake na jamii.
      3. Kujieleza kwa wenzake na watu wazima anapopatwa na matatizo
    1. Kuipenda na kujivunia shule yake
      1. Kutunza mazingira ya shule yake
      2. Kufahamu shule yake
    2. Kujipenda na kuwapenda watu wengine
      1. Kutenda matendo yenye kuonesha upendo kwa watu wote
      2. Kutenda matendo ya kujipenda
      3. Kutenda matendo ya kuheshimu watu wote