Maarifa ya Jamii
Kufuata kanuni za kiuchumi katika uzalishaji mali
Kufuata kanuni za kiuchumi katika uzalishaji mali
Kutambua shughuli za uzalishaji mali katika jamii
Kubainisha shughuli za uzalishaji mali katika kijiji/ mtaa na kata anamoishi.
Kuthamini na kulinda rasilimali za nchi
Kutathimini rasilimali zilizopo katika Wilaya anamoishi
Kuchambua njia za kutunza na kulinda rasilimali katika kijiji/ mtaa na kata anamoishi
Kuanisha rasilimali zilizopo katika kijiji/ mtaa na kata anamoishi
Listening to this topic