Maarifa ya Jamii
Kufuata kanuni za kiuchu mi katika shughuli za uzalishaji mali
Kufuata kanuni za kiuchu mi katika shughuli za uzalishaji mali
Kutumia stadi za ujasiriamali katika shughuli za kila siku
Kubainisha shughuli za uzalishaji katika maeneo yenye maziwa, bahari, pamoja na shehemu zenye miji wafugaji na viwanda
Kutambua shughuli za uzalishaji mali katika jamii
Kufafanua njia za kuboresha shughuli za uzalishaji mali
Kutofautisha shughuli za uzalishaji mali zilizokuwepo kabla na baada ya uhuru
Kuthamini na kulinda rasilimali za nchi
Kufafanua mikakati ya kulinda rasilimali za mkoa anamoishi
Kuainisha rasilimali zilizopo katika mkoa anamoishi
Listening to this topic