Hisabati Darasa la III Syllabus

    1. Kutumia stadi za maumbo katika maisha ya kila siku
      1. Kutengeneza baadhi ya maumbo bapa
      2. Kutaja majina ya baadhi ya maumbo bapa
      3. Kubaini maumbo bapa na yasiyo bapa
    2. Kutumia stadi ya uhusiano wa namba na vitu kutatua matatizo katika muktadha mbalimbali
      1. Kufumbua mafumbo ya fedha yanayohusu manunuzi na mauzo
      2. Kugawa fedha isiyozidi shilingi 999999
      3. Kuzidisha fedha kupata zao lisilozidi shilingi 999999
      4. Kutoa fedha hadi shilingi 999999
      5. Kujumlisha fedha jumla isiyozidi shillingi 999999
      6. Kuandika fedha katika shilingi na senti
      7. Kugawa vipimo vya wakati
      8. Kuzidisha vipimo vya wakati
      9. Kubadili vipimo vya wakati
      10. Kutengeneza kalenda
    3. Kutumia matendo ya namba ya kihisabati katika kutatua matatizo
      1. Kuzidisha desimali yenye nafasi mbili kwa namba nzima
      2. Kutoa desimali hadi nafasi mbili
      3. Kujumlisha desimali hadi nafasi mbili
      4. Kuzidisha sehemu
      5. Kutoa sehemu zenye asili tofauti
      6. Kujumlisha sehemu zenye asili tofauti
      7. Kufumbua mafumbo ya kugawanya
      8. Kugawanya namba yenye tarakimu hadi tatu kwa kigawanyo kisichozidi tarakimu mbili na baki
      9. Kugawanya namba yenye tarakimu hadi sita kwa kigawanyo kisichozidi tarakimu tatu bila baki
      10. Kufumbua mafumbo yanayohusu kuzidisha
      11. Kuzidisha namba kupata zao lisilozidi tarakimu sita
      12. Kufumbua mafumbo yanayohusu kutoa
      13. Kutoa namba zenye tarakimu hadi sita kwa kuchukua
      14. Kutoa namba zenye tarakimu hadi sita bila kuchukua
      15. Kufumbua mafumbo yanayohusu kujumlisha
      16. Kujumlisha namba kupata jumla isiyozidi 999999 kwa kubadili
      17. Kujumlisha namba kupata jumla isiyozidi 999999 bila kubadili
    4. Kutumia stadi ya uhusiano wa namba na vitu
      1. Kufumbua mafumbo yanayohusu fedha
      2. Kutoa fedha za Tanzania zisizozidi sh. 9999
      3. Kujumlisha fedha za Tanzania kupata jumla isiyozidi sh. 9999
      4. Kutaja umuhimu wa noti na matumizi ya fedha
      5. Kubaini noti za Tanzania zenye thamani tofautitofauti
      6. Kutaja majina ya miezi na idadi ya siku
      7. Kutaja idadi ya siku katika wiki na majina yake
      8. Kubaini saa katika siku kwa kutumia mtindo wa saa 12
      9. Kubaini vipimo mbalimbali vya wakati
    5. Kutumia matendo ya namba ya kihisabati
      1. Kufumbua mafumbo yanayohusu kuzidisha
      2. Kuzidisha namba zenye tarakimu hadi mbili kwa namba yenye tarakimu moja
      3. Kufumbua mafumbo yanayohusu kutoa
      4. Kutoa namba zenye tarakimu hadi nne kwa kuchukua
      5. Kutoa namba zenye tarakimu hadi nne bila kuchukua
      6. Kufumbua mafumbo yanayohusu kujumlisha
      7. Kujumlisha namba kupata jumla isiyozidi 9999 kwa kubadili
      8. Kujumlisha namba kupata jumla isiyozidi 9999 bila kubadili
    6. Kutumia stadi za mpangilio kufumbua mafumbo katika maisha ya kila siku
      1. Kufumbua mafumbo yanayohusu kipeuo cha pili cha namba
      2. Kukokotoa kipeuo cha pili cha namba mraba isiyozidi tarakimu tatu
      3. Kufumbua mafumbo yanayohusu kipeo cha pili cha namba isiyozidi tarakimu mbili
      4. Kukokotoa kipeo cha pili cha namba isiyozidi tarakimu mbili
      5. Kukokotoa namba mraba isiyozidi 10000
      6. Kukokotoa Kigawe Kidogo cha Shirika (KDS) cha namba mbili
      7. Kuorodhesha vigawe vya namba
      8. Kukokotoa Kigawo Kikubwa cha Shirika (KKS) cha namba mbili
      9. Kuorodhesha vigawo vya namba
      10. Kuandika namba tasa
      11. Kubaini namba tasa
      12. Kuandika namba witiri
      13. Kubaini namba witiri
      14. Kuandika namba shufwa
      15. Kutaja namba shufwa
      16. Kuorodhesha aina za namba
    7. Kutumia stadi za mpangilio katika maisha ya kila siku
      1. Kubadili sehemu kuwa asilimia
      2. Kupanga namba kuanzia kubwa hadi ndogo
      3. Kubadili desimali kuwa asilimia
      4. Kupanga namba kuanzia ndogo hadi kubwa
      5. Kubadili desimali kuwa sehemu
      6. Kubaini vitu vyenye kuonesha mpangilio katika maisha
      7. Kubadili sehemu kuwa desimali
      8. Kubadili asilimia kuwa sehemu
      9. Kubadili asilimia kuwa desimali
      10. Kukokotoa KDS cha namba tatu
      11. Kukokotoa KKS cha namba zisizozidi tatu
    1. Kutumia stadi za mpangilio kufumbua mafumbo katika maisha ya kila siku
      1. Kufumbua mafumbo yanayohusu kipeuo cha pili cha namba
      2. Kufumbua mafumbo yanayohusu kipeo cha pili cha namba isiyozidi tarakimu mbili
      3. Kukokotoa kipeo cha pili cha namba isiyozidi tarakimu mbili
      4. Kukokotoa namba mraba isiyozidi 10000
      5. Kukokotoa Kigawe Kidogo cha Shirika (KDS) cha namba mbili
      6. Kuorodhesha vigawe vya namba
      7. Kukokotoa Kigawo Kikubwa cha Shirika (KKS) cha namba mbili
      8. Kuorodhesha vigawo vya namba
      9. Kuandika namba tasa
      10. Kubaini namba tasa
      11. Kuandika namba witiri
      12. Kubaini namba witiri
      13. Kuandika namba shufwa
      14. Kutaja namba shufwa
      15. Kuorodhesha aina za namba
    1. Kutumia stadi za mpangilio katika maisha ya kila siku.
      1. Kupanga namba kuanzia kubwa hadi ndogo
      2. Kubaini vitu vyenye kuonesha mpangilio katika maisha.
    1. Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofauti
      1. Kuandika sehemu kwa tarakimu hadi mbili
      2. Kusoma sehemu za kiasi na asili zenye tarakimu hadi mbili
      3. Kugawa vitu halisi katika vipande au makundi yaliyo sawa
      4. Kubaini thamani ya tarakimu katika namba
      5. Kuandika namba kwa maneno hadi 9999
      6. Kuandika namba kwa tarakimu hadi 9999
      7. Kusoma namba hadi 9999
      8. Kuhesabu hadi 9999.