Hisabati

Kufikiri na kuhakiki katika maisha ya kila siku (Sehemu ya kwanza)
♿ Accessibility: | | | |

Kufikiri na kuhakiki katika maisha ya kila siku (Sehemu ya kwanza)

Kutumia stadi za maumbo katika maisha ya kila siku
Kutengeneza baadhi ya maumbo bapa
Kutaja majina ya baadhi ya maumbo bapa
Kubaini maumbo bapa na yasiyo bapa
Kutumia stadi ya uhusiano wa namba na vitu kutatua matatizo katika muktadha mbalimbali
Kufumbua mafumbo ya fedha yanayohusu manunuzi na mauzo
Kugawa fedha isiyozidi shilingi 999999
Kuzidisha fedha kupata zao lisilozidi shilingi 999999
Kutoa fedha hadi shilingi 999999
Kujumlisha fedha jumla isiyozidi shillingi 999999
Kuandika fedha katika shilingi na senti
Kugawa vipimo vya wakati
Kuzidisha vipimo vya wakati
Kubadili vipimo vya wakati
Kutengeneza kalenda
Kutumia matendo ya namba ya kihisabati katika kutatua matatizo
Kuzidisha desimali yenye nafasi mbili kwa namba nzima
Kutoa desimali hadi nafasi mbili
Kujumlisha desimali hadi nafasi mbili
Kuzidisha sehemu
Kutoa sehemu zenye asili tofauti
Kujumlisha sehemu zenye asili tofauti
Kufumbua mafumbo ya kugawanya
Kugawanya namba yenye tarakimu hadi tatu kwa kigawanyo kisichozidi tarakimu mbili na baki
Kugawanya namba yenye tarakimu hadi sita kwa kigawanyo kisichozidi tarakimu tatu bila baki
Kufumbua mafumbo yanayohusu kuzidisha
Kuzidisha namba kupata zao lisilozidi tarakimu sita
Kufumbua mafumbo yanayohusu kutoa
Kutoa namba zenye tarakimu hadi sita kwa kuchukua
Kutoa namba zenye tarakimu hadi sita bila kuchukua
Kufumbua mafumbo yanayohusu kujumlisha
Kujumlisha namba kupata jumla isiyozidi 999999 kwa kubadili
Kujumlisha namba kupata jumla isiyozidi 999999 bila kubadili
Kutumia stadi ya uhusiano wa namba na vitu
Kufumbua mafumbo yanayohusu fedha
Kutoa fedha za Tanzania zisizozidi sh. 9999
Kujumlisha fedha za Tanzania kupata jumla isiyozidi sh. 9999
Kutaja umuhimu wa noti na matumizi ya fedha
Kubaini noti za Tanzania zenye thamani tofautitofauti
Kutaja majina ya miezi na idadi ya siku
Kutaja idadi ya siku katika wiki na majina yake
Kubaini saa katika siku kwa kutumia mtindo wa saa 12
Kubaini vipimo mbalimbali vya wakati
Kutumia matendo ya namba ya kihisabati
Kufumbua mafumbo yanayohusu kuzidisha
Kuzidisha namba zenye tarakimu hadi mbili kwa namba yenye tarakimu moja
Kufumbua mafumbo yanayohusu kutoa
Kutoa namba zenye tarakimu hadi nne kwa kuchukua
Kutoa namba zenye tarakimu hadi nne bila kuchukua
Kufumbua mafumbo yanayohusu kujumlisha
Kujumlisha namba kupata jumla isiyozidi 9999 kwa kubadili
Kujumlisha namba kupata jumla isiyozidi 9999 bila kubadili
Kutumia stadi za mpangilio kufumbua mafumbo katika maisha ya kila siku
Kufumbua mafumbo yanayohusu kipeuo cha pili cha namba
Kukokotoa kipeuo cha pili cha namba mraba isiyozidi tarakimu tatu
Kufumbua mafumbo yanayohusu kipeo cha pili cha namba isiyozidi tarakimu mbili
Kukokotoa kipeo cha pili cha namba isiyozidi tarakimu mbili
Kukokotoa namba mraba isiyozidi 10000
Kukokotoa Kigawe Kidogo cha Shirika (KDS) cha namba mbili
Kuorodhesha vigawe vya namba
Kukokotoa Kigawo Kikubwa cha Shirika (KKS) cha namba mbili
Kuorodhesha vigawo vya namba
Kuandika namba tasa
Kubaini namba tasa
Kuandika namba witiri
Kubaini namba witiri
Kuandika namba shufwa
Kutaja namba shufwa
Kuorodhesha aina za namba
Kutumia stadi za mpangilio katika maisha ya kila siku
Kubadili sehemu kuwa asilimia
Kupanga namba kuanzia kubwa hadi ndogo
Kubadili desimali kuwa asilimia
Kupanga namba kuanzia ndogo hadi kubwa
Kubadili desimali kuwa sehemu
Kubaini vitu vyenye kuonesha mpangilio katika maisha
Kubadili sehemu kuwa desimali
Kubadili asilimia kuwa sehemu
Kubadili asilimia kuwa desimali
Kukokotoa KDS cha namba tatu
Kukokotoa KKS cha namba zisizozidi tatu
Listening to this topic