Hisabati

Kutumia lugha ya kihisabati katika kuwasilisha wazo au hoja. (Sehemu ya kwanza)
♿ Accessibility: | | | |

Kutumia lugha ya kihisabati katika kuwasilisha wazo au hoja. (Sehemu ya kwanza)

Kutumia dhana ya namba kuwasiliana katika mazingira tofauti
Kuandika sehemu kwa tarakimu hadi mbili
Kusoma sehemu za kiasi na asili zenye tarakimu hadi mbili
Kugawa vitu halisi katika vipande au makundi yaliyo sawa
Kubaini thamani ya tarakimu katika namba
Kuandika namba kwa maneno hadi 9999
Kuandika namba kwa tarakimu hadi 9999
Kusoma namba hadi 9999
Kuhesabu hadi 9999.
Listening to this topic