Uraia na Maadili

Kuwa mwajibikaji
♿ Accessibility: | | | |

Kuwa mwajibikaji

Kushirikiana katika kutekeleza majukumu ya nyumbani na shuleni
Kushirikiana na wanajamii katika shughuli za kimaendeleo
Kutambua faida za kushirikisha watu wengine na hasara za kutoshirikisha wengine katika utekelezaji wa majukumu
Kuwa na nidhamu binafsi
Kufanya maamuzi kwa wakati katika kutekeleza majukumu
Kutetea msimamo wake kwa hoja
Kubainisha vipaumbele vyake katika masomo na kuvizingatia
Kutii sheria na kanuni katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku
Kutathmini hatua zinazo chukuliwa kudhibiti uvunjifu wa sheria na kanuni shuleni
Kuhoji sheria na kanuni zinazotumika
Kuoanisha utekelezaji wa kanuni katika maisha
Kutambua kanuni za nchi na kuzifuata
Kusimamia majukumu yanayomhusu nyumbani na shuleni
Kupendekeza njia za uboreshaji utendaji wa kazi
Kubaini njia mbadala za kutatua matatizo
Kutambua majukumu ya kiongozi katika ngazi ya shule na familia
Kulinda rasilimali na maslahi ya nchi
Kupambanua sifa za kiongozi anayefaa kuchaguliwa katika ngazi ya Taifa
Kufanya vitendo vya kulinda usalama wa Taifa
Kubaini njia za kupambana na matumizi mabaya ya mali ya umma
Kutumia vipaji na uwezo wake kubuni shughuli zenye kuleta mae ndeleo
Listening to this topic