Uraia na Maadili Darasa la V Syllabus
-
-
Kujenga urafiki mwema na mataifa mengine
-
Kutambua nchi rafiki na Tanzania
-
Kutofautisha rafiki anayefaa na asiyefaa
-
-
Kuheshimu tofauti za kiutamaduni na mitazamo miongoni mwa watu wa jamii tofauti
-
Kukemea mila na desturi potofu
-
Kuonesha tabia ya kujifunza tamaduni za makabila tofauti
-
Kueleza dhana ya utamaduni
-
-
Kuchangamana na watu wenye asili tofauti
-
Kutenda matendo yenye kudumisha upendo na amani miongoni mwa watu wa asili tofauti
-
Kufanya kazi pamoja bila kujali tofauti za asili ya mtu
-
Kutambua asili ya watu waishio Tanzania
-
-
-
-
Kusimamia haki
-
Kueleza matendo yasiyo ya haki anayo fanyiwa mtoto
-
Kueleza haki za binadamu
-
Kutambua wajibu na haki za mtoto
-
-
Kutimiza majukumu yake kwa uwazi na ukweli
-
Kubaini matendo yanayo dhihirisha tabia ya uongo
-
Kuonesha tabia ya kuwa mkweli na muwazi
-
-
Kuaminika katika jamii
-
Kutambua matendo ya usaliti
-
Kueleza vitendo vinavyovunja uaminifu
-
Kutenda matendo yanayojenga tabia ya uaminifu
-
-
-
-
Kujifunza kwa kuchanganua mambo kiyakinifu
-
Kujifunza maarifa mapya kwa kudadisi mambo mbalimbali
-
-
Kufikia malengo aliyojiwekea kwa kuwa na mtazamo chanya
-
Kuonesha tabia ya kufanya kazi na kumaliza kwa wakati
-
Kuvumilia katika maisha ya kila siku
-
Kuwasiliana kwa lugha inayofaa pindi anapoudhiwa
-
Kufanya vitendo vya kuwavumilia watu wenye haiba tofauti
-
Kuonesha tabia ya kuwakubali watu wengine jinsi walivyo
-
-
-
-
Kulinda rasilimali na maslahi ya nchi
-
Kufafanua nji a za kutunza na kuhifadhi rasilimali kuu za Taifa
-
-
-
-
Kujenga uhusiano mzuri na watu wengine katika jamii
-
Kushiriki katika kutatua shida na matatizo yanayo wakabili watu wanao mzunguka
-
Kueleza namna bora ya kukuza uhusiano na watu wengine
-
-
Kutunza mazingira na vilivyomo
-
Kuelimisha jamii juu ya athari zitokanazo na uharibifu wa mazingira
-
Kutathmini hali ya uharibifu wa mazingira katika eneo analoishi /shuleni
-
-
Kujijali na kuwajali wengine
-
Kukemea matendo maovu yanayofanywa dhidi ya watoto
-
Kutambua matendo ya kikatili yanayofanywa ndani ya familia
-
-
-
-
Kuipenda Tanzania kwa kuenzi tunu mbalimbali za nchi
-
Kufafanua muundo wa serikali ya Kata, Wilaya na Mkoa
-
Kushiriki katika siku kuu za Kitaifa
-
Kufafanua matumizi ya alama za Taifa
-
Kutenda matendo yanayo dumisha utamaduni wa Taifa
-
Kufafanua mila na desturi za Kitanzania
-
-
Kupenda na kujivunia mambo mazuri ya shule yote
-
Kufanya shughuli za kujitolea shuleni
-
Kuchora nembo ya shule yake
-
Kufafanua mambo mazuri yanayo tambulisha shule yake
-
-
Kujipenda na kuwapenda watu wengine
-
Kuvaa mavazi yenye staha katika muktadha mbalimbali
-
Kutenda matendo yenye kuheshimu jinsi
-
Kutenda matendo yenye kuonesha upendo kwa watu wenye mahitaji maalumu
-
-