Hisabati Darasa la V Syllabus
-
-
Kutumia stadi za aljebra katika maisha ya kila siku
-
Kugawa mitajo
-
Kuzidisha mitajo kupata zao lisilohusisha kipeo zaidi ya cha pili
-
Kutoa mitajo
-
Kujumlisha mitajo
-
Kuunda sentensi za kialjebra
-
-
Kutumia stadi za takwimu kuwasilisha taarifa mbalimbali
-
Kusoma na kutafsiri grafu kwa mihimili
-
Kukokotoa wastani kutokana na data mbalimbali
-
-
-
-
Kutumia stadi za maumbo katika maisha ya kila siku
-
Kutengeneza mapambo kwa kutumia maumbo bapa katika mazingira yanayo mzunguka
-
Kuchora maumbo bapa
-
Kutengeneza baadhi ya maumbo bapa
-
Kutaja majina ya baadhi ya maumbo bapa
-
Kubaini maumbo bapa na yasiyo bapa
-
-
Kutumia stadi za maumbo kufumbua mafumbo katika muktadha wa Hisabati
-
Kutengeneza maumbo ya ukumbi
-
Kuchora maumbo ya ukumbi
-
Kuorodhesha maumbo ya ukumbi
-
Kukokotoa eneo la trapeza
-
Kukokotoa eneo la msambamba
-
Kukokotoa mzingo wa maumbo ya msambamba na trapeza
-
Kutaja sifa za maumbo ya pembenne
-
Kubaini maumbo ya pembenne
-
Kukokotoa pembe
-
Kubaini mistari sambamba na sulubi
-
Kuchora pembe kwa vipimo
-
Kupima pembe kwa vipimo
-
-
Kutumia stadi za vipimo katika muktadha mbalimbali
-
Kupima uzani wa vitu kwa kulinganisha, kusoma na kurekodi
-
Kubaini vipimo vya uzani
-
Kupima, kusoma na kurekodi urefu wa vitu
-
Kubaini vipimio vya urefu
-
-
Kutumia stadi za vipimo katika muktadha mbalimbali
-
Kufumbua mafumbo yanayohusu vipimo vya metriki
-
Kugawanya vipimo vya ujazo vya metriki
-
Kuzidisha vipimo vya ujazo vya metriki
-
Kugawanya vipimo vya uzani vya metriki
-
Kuzidisha vipimo vya uzani vya metriki
-
Kugawanya vipimo vya urefu vya metriki
-
Kuzidisha vipimo vya urefu vya metriki
-
-
-
-
Kutumia matendo ya namba ya kihisabati katika kutatua matatizo
-
Kufumbua mafumbo yanayohusu kujumlisha
-
Kugawanya namba kamili
-
Kuzidisha namba kamili
-
Kujumlisha namba kupata jumla isiyozidi 999999 kwa kubadili
-
Kutoa namba kamili
-
Kujumlisha namba kupata jumla isiyozidi 999999 bila kubadili
-
Kujumlisha namba kamili
-
Kugawanya namba kupata jibu lisilozidi nafasi mbili za desimali
-
Kuzidisha namba yenye nafasi hadi tatu za desimali kwa namba nzima
-
Kuzidisha namba ya desimali yenye nafasi hadi mbili kwa namba ya desimali yenye nafasi moja
-
Kutoa desimali hadi nafasi tatu
-
Kufumbua mafumbo yanayohusu kugawanya
-
Kugawanya namba isiyozidi milioni kumi ikiwa na baki
-
Kugawanya namba isiyozidi milioni kumi bila baki
-
Kufumbua mafumbo yanayohusu kutoa
-
Kutoa namba hadi milioni kumi bila kuchukua
-
Kufumbua mafumbo yanayohusu kujumlisha namba
-
Kujumlisha namba kupata jumla isiyozidi 10000000 kwa kubadili
-
Kujumlisha namba kupata jumla isiyozidi 10000000 bila kubadili
-
-
Kutumia stadi ya uhusiano wa namba na vitu
-
Kufumbua mafumbo yanayohusu fedha
-
Kutoa fedha za Tanzania zisizozidi sh. 9999
-
Kujumlisha fedha za Tanzania kupata jumla isiyozidi sh. 9999
-
Kutaja umuhimu wa noti na matumizi ya fedha
-
Kubaini noti za Tanzania zenye thamani tofautitofauti
-
Kutaja majina ya miezi na idadi ya siku
-
Kutaja idadi ya siku katika wiki na majina yake
-
Kubaini saa katika siku kwa kutumia mtindo wa saa 12
-
Kubaini vipimo mbalimbali vya wakati
-
-
Kutumia stadi ya uhusiano wa namba na vitu katika muktadha mbalimbali
-
Kufumbua mafumbo ya fedha yanayohusu faida na hasara
-
Kufumbua mafumbo yanayohusu wakati
-
Kubadili wakati kutoka mtindo wa saa 24 kwenda 12
-
Kubadili wakati kutoka mtindo wa saa 12 kwenda 24
-
Kuandika wakati kwa mtindo wa saa 24
-
Kusoma wakati kwa mtindo wa saa 24
-
Kuandika wakati kwa mtindo wa saa 12
-
Kusoma wakati kwa mtindo wa saa 12
-
-
Kutumia matendo ya namba ya kihisabati
-
Kujumlisha namba kupata jumla isiyozidi 9999 bila kubadili
-
-
-
-
Kutumia dhana ya namba katika kuwasiliana katika mazingira tofauti
-
Kuandika desimali hadi nafasi mbili
-
Kukadiria namba za desimali
-
Kusoma desimali hadi nafasi mbili
-
Kukadiria namba nzima
-
Kuandika desimali hadi nafasi tatu
-
Kubaini aina za sehemu
-
Kusoma desimali hadi nafasi tatu
-
Kulinganisha sehemu
-
Kubaini thamani ya tarakimu katika namba (mamoja, makumi, mamia, maelfu, makumi elfu na mamia elfu)
-
Kuorodhesha namba kamili katika mstari
-
Kuandika namba kwa maneno hadi 999999
-
Kubaini thamani ya tarakimu katika namba (mamoja, makumi, mamia, maelfu, makumi elfu, mamia elfu na mamilioni)
-
Kuandika namba kwa maneno hadi 10000000
-
Kuandika namba kwa tarakimu hadi 999999
-
Kusoma namba hadi 999999
-
Kuandika namba kwa tarakimu hadi 10000000
-
Kuhesabu hadi 999999 kwa mfuatano
-
Kusoma namba hadi 10000000
-
Kuhesabu hadi 10000000 kwa mfuatano
-
-