Kiswahili Darasa la V Syllabus
-
-
Kusoma kwa ufasaha na kuonesha uelewa wa matini aliyoisoma
-
Kueleza maana za maneno mapya katika matini mbalimbali, kuyatumia katika sentensi na kuhusianisha na mazingira ya kila siku
-
Kubaini maudhui yaliyomo katika hadithi na kuelezea tabia zote za kila mhusika na kuhusianisha na mazingira ya kila siku
-
Kusoma matini teule za kisiasa, kiuchumi na kijamii, kubaini maneno mapya na kuyatumia katika miktadha mbalimbali
-
Kusoma, kuchanganua na kueleza mawazo yote ya msingi katika matini teule za kisiasa, kiuchumi na kijamii
-
Kusoma matini teule kwa kuzingatia alama zote za uandishi na kuelezea umuhimu wa matini hizo
-
-
Kutumia msamiati katika kusoma ili kuchanganua mawazo yaliyo wasilishwa katika matini mbalimbali
-
Kusoma kifungu cha habari ili kubaini maneno mapya yenye maana zaidi ya moja
-
Kusoma matini mbalimbali yanayoelezea hali ya hewa na kubaini majira yake
-
Kusoma matini na kubaini maneno mapya na kuelezea maana zake
-
-
Kusikiliza na kuonesha uelewa wa jambo alilosikiliza
-
Kusoma hotuba na kubaini maudhui yaliyojitokeza na kuyafafanua kwa usahihi
-
-
Kusoma kwa ufasaha na kuonesha uelewa wa matini mbalimbali
-
Kusoma kitabu cha hadithi na kuelezea tabia za wahusika
-
Kusoma hadithi za kubuni kwa burudani na kwa kuzingatia alama za uandishi
-
Kusoma matangazo na kubaini taarifa muhimu
-
Kubaini makosa ya kiuandishi katika matini anuai
-
Kusoma na kubaini methali zinazofanana
-
Kusoma methali mbalimbali katika kifungu cha habari na kueleza maana zake
-
-
Kusikiliza na kuonesha uelewa juu ya jambo alilolisikiliza
-
Kubaini na kuchambua hoja kuu zilizotolewa katika majadiliano
-
Kubaini mawazo makuu katika risala
-
Kubaini miundo katika sentensi wakati wa mazungumzo
-
Kusikiliza habari na kujibu maswali yatokanayo na habari
-
-