Maarifa ya Jamii Darasa la V Syllabus
-
-
Kutumia stadi za ujasiriamali katika shughuli za kila siku
-
Kuchambua umuhimu wa shughuli za kiuchumi katika jamii husika
-
Kufafanua shughuli za kiuchumi katika jamii inayomzunguka mfano sehemu zenye rutuba na mvua
-
-
Kutambua shughuli za uzalishaji mali katika jamii
-
Kuchambua wajibu wa kila mwana familia katika shughuli za uzalishaji mali
-
Kuchambua shughuli za uzalishaji mali katika familia
-
-
Kuthamini na kulinda rasilimali za nchi
-
Kuainisha rasilimali zinazo milikiwa na shule
-
Kuelezea rasilimali zinazo milikiwa na familia
-
-
-
-
Kutumia elimu ya hali ya hewa katika shughuli za kila siku
-
Kuchambua majira ya mwaka
-
Kupima vipengele vya hali ya hewa
-
Kuainisha vipengele vya hali ya hewa
-
-
Kutunza kumbukumbu za matukio ya kihistoria
-
Kuchambua njia za kutunza taarifa za matukio ya kihistoria
-
Kupanga matukio kwa kufuata mtiririko wa wakati (mf. usasa kwenda ukale)
-
Kuwasilisha taarifa za matukio ya kihistoria
-
-
Kutunza mazingira ya jamii inayo mzunguka
-
Kutathmini vitendo vya kukabiliana na uharibifu wa mazingira
-
Kuchambua majanga yatokanayo na uharibifu wa mazingira
-
-
-
-
Kutumia elimu ya hali ya hewa katika shughuli za kila siku
-
Kupima upepo
-
Kufafanua dhana ya upepo
-
-
Kutunza kumbukumbu za matukio ya kihistoria
-
Kufafanua utunzaji wa taarifa za matukio ya kihistoria
-
Kuchambua matukio ya kihistoria yaliyowahi kutokea Tanzania
-
-
Kuchambua mazingira ya jamii inayomzun guka
-
Kufafanua njia za utunzaji wa vyanzo vya maji.
-
Kuchambua uharibifu wa mazingira
-
-
-
-
Kutumia Elimu ya hali ya hewa katika shughuli za kila siku
-
Kubainisha njia za kujikinga na hali ya hewa ya baridi kali na joto kali katika mazingira ya shule
-
Kufafanua dhana ya jotoridi
-
-
Kutunza mazingira ya jamii inayomzunguka
-
Kufafanua namna ya kupanda na kutunza maua, miti na nyasi kwenye viunga vya shule
-
Kuelezea hatua za kupanda nyasi, miti na maua katika mazingira
-
Kuchambua faida za mazingira safi
-
Kusafisha mazingira ya eneo la shule
-
Kufanya usafi wa darasa
-
Kufafanua vitu vinavyounda mazingira ya shule
-
-