Uraia na Maadili
Kuwa mwajibikaji
Kuwa mwajibikaji
Kushiriki- ana katika kutekeleza majukumu ya nyumbani na shuleni
Kushirikiana na wenzake katika kufanya shughuli za shuleni na nyumbani
Kuwa na nidhamu binafsi
Kupenda kujisomea
Kujituma katika kazi kwa uwezo wake wote bila ya usimamizi
Kupangilia kazi zake anazofanya
Kutii sheria na kanuni katika kutekeleza majukumu yake kila siku
Kufuata sheria na kanuni za shule
Kufahamu sheria na kanuni za shule
Kusimamia majukumu yanayomhusu ya nyumbani na shuleni
Kusimamia kazi mbalimbali shuleni na nyumbani
Kutekeleza majukumu yake ya shuleni na nyumbani
Kulinda rasilimali na maslahi ya nchi
Kulinda na kutunza rasilimali zilizopo katika mazingira
Kutambua rasilimali zilizopo katika mazingira yanayo mzunguka
Listening to this topic