Uraia na Maadili
Kuthamini jamii
Kuthamini jamii
Kuipenda Tanzania kwa kuenzi tunu za nchi na asili yake
Kutambua asili ya nchi ya Tanzania
Kutambua tunu za Taifa la Tanzania
Kutambua alama za Taifa
Kujenga uhusiano mzuri na watu wengine katika jamii
Kushiriki katika kutatua tatizo alilonalo rafiki yake
Kuwasiliana vyema na wenzake ndani na nje ya darasa
Kutunza mazingira na vilivyomo
Kutunza vyanzo vya maji
Kuthamini mimea na wanyama
Kutambua mazingira yanayo mzunguka
Kujijali na kuwajali wengine
Kumsaidia mtu mwenye uhitaji
Kuepuka vitendo vinavyoweza kuhatarisha usalama wake na jamii.
Kujieleza kwa wenzake na watu wazima anapopatwa na matatizo
Listening to this topic