Kuhesabu Darasa la II Syllabus

    1. Kubaini vipimio vinavyotumika katika mazingira yetu.
      1. Vipimio vinavyotumika kupima vitu mbalimbali vinabainishwa kwa usahihi.
    2. Kubainisha vipimo vya uzito
      1. Vipimo vya uzito vinabainishwa kwa usahihi.
    3. Kubaini vitu mbalimbali vinavyopimwa.
      1. Vitu mbalimbali vinavyopimwa vinabainishwa kwa usahihi.
    4. Kubainisha vipimo vya urefu
      1. Vipimo vya urefu vinabainishwa kwa usahihi.
    1. Kutoa fedha za Tanzania na kupata thamani isiyozidi shilingi 1000
      1. Kutoa fedha za Tanzania na kupata thamani isiyozidi shilingi 1000 kufanyika kwa usahihi.
    2. Kujumlisha fedha za Tanzania na kupata thamani isiyozidi shilingi 1000
      1. Kujumlisha fedha za Tanzania na kupata thamani isiyozidi shilingi 1000 kunafanyika kwa usahihi.
    3. Kulinganisha thamani ya noti za benki ya Tanzania
      1. Kulinganisha thamani ya noti za benki ya Tanzania kunafanyika kwa usahihi.
    4. Kubaini noti za benki ya Tanzania
      1. Noti za benki ya Tanzania zinabainishwa kwa usahihi.
    5. Kulinganisha thamani ya sarafu za Tanzania
      1. Sarafu za Tanzania zinalinganishwa kwa usahihi.
    6. Kubaini sarafu za Tanzania
      1. Sarafu za Tanzania zinabainishwa kwa usahihi
    1. Kuandika ¼.
      1. Robo inaandikwa kwa usahihi.
    2. Kubainisha thamani ya namba (mamoja, makumi na mamia)
      1. Thamani ya namba (mamoja, makumi na mamia) inabainishwa kwa usahihi.
    3. Kusoma ¼.
      1. Robo inasomwa kwa usahihi.
    4. Kuandika namba 100 hadi 1000
      1. Namba kuanzia 100 hadi 1000 zinaandikwa kwa usahihi
    5. Kubaini ¼ .
      1. Robo inabainishwa kwa usahihi.
    6. Kujaza namba katika nafasi wazi kwa mfuatano
      1. Namba katika nafasi wazi mfuatano zinajazwa kwa usahihi
    7. Kuandika ½.
      1. Nusu inaandikwa kwa usahihi.
    8. Kusoma namba kuanzia 100 hadi 1000
      1. Namba kuanzia 100 hadi 1000 zinasomwa kwa usahihi.
    9. Kuhesabu vitu kwanzia 100 hadi 1000
      1. Vitu tofauti kuanzia 100 hadi 1000 vinahesabiwa kwa usahihi.
    10. Kusoma ½ .
      1. Nusu inasomwa kwa usahihi.
    11. Kubaini nusu.
      1. Nusu inabainishwa kwa usahihi.
    1. Kuandika mbili ya tatu
      1. Mbili ya tatu inaandikwa kwa usahihi.
    2. Kusoma mbili ya tatu
      1. Mbili ya tatu inasomwa kwa usahihi
    3. Kubaini mbili ya tatu ya vitu
      1. Mbili ya tatu ya vitu inabainishwa kwa usahihi
    4. Kuandika moja ya tatu
      1. Moja ya tatu inaandikwa kwa usahihi.
    5. Kusoma moja ya tatu
      1. Moja ya tatu inasomwa kwa usahihi.
    6. Kubainisha moja ya tatu ya vitu
      1. Moja ya tatu ya vitu inabainishwa kwa usahihi.
    1. Kutoa namba
      1. Kutoa namba kunafanyika kwa usahihi.
    2. Kufanya mazoezi ya kupunguza idadi ya vitu kutoka kwenye kiwango alichopewa
      1. Kupunguza idadi ya vitu kutoka kwenye kiwango alichopewa kinafanyika kwa usahihi.
    3. Kujumlisha namba kupata jumla isiyozidi 1000
      1. Namba kupata jumla isiyozidi 1000 vinajumlishwa kwa usahihi.
    4. Kujumlisha vitu kupata jumla isiyozidi 1000
      1. Vitu kupata jumla isiyozidi 1000 vinajumlishwa kwa usahihi.