Kuhesabu
Kutambua namba na uhusiano
Kutambua namba na uhusiano
Kutoa fedha za Tanzania na kupata thamani isiyozidi shilingi 1000
Kutoa fedha za Tanzania na kupata thamani isiyozidi shilingi 1000 kufanyika kwa usahihi.
Kujumlisha fedha za Tanzania na kupata thamani isiyozidi shilingi 1000
Kujumlisha fedha za Tanzania na kupata thamani isiyozidi shilingi 1000 kunafanyika kwa usahihi.
Kulinganisha thamani ya noti za benki ya Tanzania
Kulinganisha thamani ya noti za benki ya Tanzania kunafanyika kwa usahihi.
Kubaini noti za benki ya Tanzania
Noti za benki ya Tanzania zinabainishwa kwa usahihi.
Kulinganisha thamani ya sarafu za Tanzania
Sarafu za Tanzania zinalinganishwa kwa usahihi.
Kubaini sarafu za Tanzania
Sarafu za Tanzania zinabainishwa kwa usahihi
Listening to this topic