Kuhesabu

Kutambua vipimo
♿ Accessibility: | | | |

Kutambua vipimo

Kubaini vipimio vinavyotumika katika mazingira yetu.
Vipimio vinavyotumika kupima vitu mbalimbali vinabainishwa kwa usahihi.
Kubainisha vipimo vya uzito
Vipimo vya uzito vinabainishwa kwa usahihi.
Kubaini vitu mbalimbali vinavyopimwa.
Vitu mbalimbali vinavyopimwa vinabainishwa kwa usahihi.
Kubainisha vipimo vya urefu
Vipimo vya urefu vinabainishwa kwa usahihi.
Listening to this topic