Kuhesabu

Kutambua namba

Kutambua namba

Kuandika ¼.
Robo inaandikwa kwa usahihi.
Kubainisha thamani ya namba (mamoja, makumi na mamia)
Thamani ya namba (mamoja, makumi na mamia) inabainishwa kwa usahihi.
Kusoma ¼.
Robo inasomwa kwa usahihi.
Kuandika namba 100 hadi 1000
Namba kuanzia 100 hadi 1000 zinaandikwa kwa usahihi
Kubaini ¼ .
Robo inabainishwa kwa usahihi.
Kujaza namba katika nafasi wazi kwa mfuatano
Namba katika nafasi wazi mfuatano zinajazwa kwa usahihi
Kuandika ½.
Nusu inaandikwa kwa usahihi.
Kusoma namba kuanzia 100 hadi 1000
Namba kuanzia 100 hadi 1000 zinasomwa kwa usahihi.
Kusoma ½ .
Nusu inasomwa kwa usahihi.
Kuhesabu vitu kwanzia 100 hadi 1000
Vitu tofauti kuanzia 100 hadi 1000 vinahesabiwa kwa usahihi.
Kubaini nusu.
Nusu inabainishwa kwa usahihi.
Listening to this topic