Kuhesabu Darasa la I Syllabus

    1. Kuwakilisha kiwango cha vitu halisi kwa kutumia michoro.
      1. Kiwango cha vitu halisi kwa kutumia michoro kinawakilishwa kwa usahihi.
    2. Kukusanya vitu halisi kutoka katika mazingira.
      1. Vitu halisi vinakusanywa kwa usahihi.
    1. Kuwakilisha kiwango cha vitu halisi kwa kutkumia michoro
      1. Uwakilishaji wa vitu halisi kwa kutumia michoro unafanyika kwa usahihi.
    2. Kukusanya na kutambua vitu halisi katika mazingira
      1. Vitu halisi vinakusanywa na kutambuliwa kutoka katika mazingira kwa usahihi
    3. Kubaini vitu halisi katika mazingira
      1. Vitu halisi vinabainishwa katika mazingira
    1. Kuchora maumbo bapa na yasiyo bapa.
    2. Kuchora maumbo bapa na yasiyobapa
      1. Maumbo bapa na yasiyobapa yanachorwa kwa usahihi.
    3. Kubainisha maumbo bapa na yasiyobapa.
      1. Maumbo bapa na yasiyo bapa yanachorwa kwa usahihi.
      2. Maumbo bapa na yasiyobapa yanabainishwa kwa usahihi.
    4. Kutaja maumbo bapa na yasiyobapa
      1. Maumbo bapa na yasiyobapa yanatajwa kwa usahihi
    5. Kutofautisha maumbo paba na yasiyobapa
      1. Maumbo bapa na yasiyobapa yanatofautishwa kwa usahihi.
    6. Kuchora maumbo ya pembe tatu, pembe nne na duara
      1. Maumbo ya pembe tatu, pembe nne na duara yanachorwa kwa usahihi.
    7. Kubainisha maumbo ya pembe tatu, pembe nne na duara
      1. Maumbo ya pembe tatu, pembe nne na duara yanabainishwa kwa usahihi.
    1. Kutoa fedha za Tanzania.
      1. Fedha za Tanzania zinatolewa kwa usahihi.
    2. Kujumlisha fedha za Tanzania kupata jumla isiyozidi 100.
      1. Fedha za Tanzania zinajumlishwa kupata jumla isiyozidi 100 kwa usahihi.
    3. Kulinganisha thamani ya sarafu za Tanzania.
      1. Thamani ya sarafu za Tanzania inalinganishwa kwa usahihi.
    4. Kubaini fedha za Tanzania.
      1. Fedha za Tanzania zinabainishwa kwa usahihi.
    1. Kutoa namba.
      1. Namba zinatolewa kwa usahihi.
    2. Kubaini alama ya kutoa.
      1. Alama ya kutoa inabainishwa kwa usahihi.
    3. Kufanya zoezi la kupunguza vitu kutokana na idadi aliyopewa.
      1. Zoezi la kupunguza idadi ya vitu kutokana na idadi aliyopewa linafanyika kwa usahihi.
    4. Kujumlisha namba kupata jumla isiyozidi 99.
      1. Namba kupata jumla isiyozidi 99 inajumlishwa kwa usahihi.
    5. Kubaini alama ya kujumlisha (+).
      1. Alama ya kujumlisha inabainishwa kwa usahihi.
    6. Kujumlisha vitu kupata jumla isiyozidi 99.
      1. Vitu vinajumlishwa kwa usahihi kupata jumla isiyozidi 99.