Kuhesabu
Matendo katika namba
Matendo katika namba
Kutoa namba.
Namba zinatolewa kwa usahihi.
Kubaini alama ya kutoa.
Alama ya kutoa inabainishwa kwa usahihi.
Kufanya zoezi la kupunguza vitu kutokana na idadi aliyopewa.
Zoezi la kupunguza idadi ya vitu kutokana na idadi aliyopewa linafanyika kwa usahihi.
Kujumlisha namba kupata jumla isiyozidi 99.
Namba kupata jumla isiyozidi 99 inajumlishwa kwa usahihi.
Kubaini alama ya kujumlisha (+).
Alama ya kujumlisha inabainishwa kwa usahihi.
Kujumlisha vitu kupata jumla isiyozidi 99.
Vitu vinajumlishwa kwa usahihi kupata jumla isiyozidi 99.
Listening to this topic