Kuhesabu

Kutambua maumbo
♿ Accessibility: | | | |

Kutambua maumbo

Kuchora maumbo bapa na yasiyo bapa.
Kuchora maumbo bapa na yasiyobapa
Maumbo bapa na yasiyobapa yanachorwa kwa usahihi.
Kubainisha maumbo bapa na yasiyobapa.
Maumbo bapa na yasiyo bapa yanachorwa kwa usahihi.
Maumbo bapa na yasiyobapa yanabainishwa kwa usahihi.
Kutaja maumbo bapa na yasiyobapa
Maumbo bapa na yasiyobapa yanatajwa kwa usahihi
Kutofautisha maumbo paba na yasiyobapa
Maumbo bapa na yasiyobapa yanatofautishwa kwa usahihi.
Kuchora maumbo ya pembe tatu, pembe nne na duara
Maumbo ya pembe tatu, pembe nne na duara yanachorwa kwa usahihi.
Kubainisha maumbo ya pembe tatu, pembe nne na duara
Maumbo ya pembe tatu, pembe nne na duara yanabainishwa kwa usahihi.
Listening to this topic