Kuhesabu
Kutambua namba na uhusiano
Kutambua namba na uhusiano
Kutoa fedha za Tanzania.
Fedha za Tanzania zinatolewa kwa usahihi.
Kujumlisha fedha za Tanzania kupata jumla isiyozidi 100.
Fedha za Tanzania zinajumlishwa kupata jumla isiyozidi 100 kwa usahihi.
Kulinganisha thamani ya sarafu za Tanzania.
Thamani ya sarafu za Tanzania inalinganishwa kwa usahihi.
Kubaini fedha za Tanzania.
Fedha za Tanzania zinabainishwa kwa usahihi.
Listening to this topic