Kiswahili (New) Form 3 Syllabus
-
-
Kukuza uelewa wa sarufi ya Kiswahili
-
Kuunda maneno kwa njia mbalimbali kutokana na habari alizozisoma au kuzisikiliza (mf. utohoaji, uradidi, uhulutishaji)
-
Kuandika habari kwa kuzingatia maneno yaliyoundwa kwa njia mbalimbali
-
Kujenga hoja za uga mahususi kwa kutumia miundo mbalimbali ya sentensi (mf. siasa, uchumi, kilimo na biashara)
-
Kuandika matini ndefu na changamani kwa kutumia miundo mbalimbali ya sentensi
-
-
-
-
Kusikiliza na kuelewa mazungumzo
-
Kusikiliza habari changamani kitunduizi na kuchangia au kutoa maoni mwafaka
-
Kusikiliza habari na kuzielezea kwa maneno yake mwenyewe kwa kuzingatia stadi za mawasiliano (mf. uwazi, ukamilifu wa hoja, usahihi, muwala, uwekevu na staha)
-
-
Kusoma matini kwa ufasaha na ufahamu
-
Kusoma matini ndefu changamani na kuelezea kwa maandishi mawazo makuu yaliyomo kwa kuzingatia stadi za mawasiliano (mf. uwazi, ukamilifu wa hoja, usahihi, muwala, uwekevu na staha
-
Kusoma matini ndefu changamani na kutathmini hoja zilizomo
-
-
-
-
Kuwasiliana kwa ufasaha kwa njia ya mazungumzo
-
Kutumia lugha fasaha katika mazungumzo ya hadhara (mf. mikutano ya hadhara, uwasilishaji mbele ya halaiki na mijadala mbalimbali)
-
-
Kuwasiliana kwa njia ya maandishi katika miktadha mbalimbali
-
Kuandika barua na makala za magazetini
-
-
-
-
Kukuza uelewa wa misingi ya fasihi ya Kiswahili
-
Kufafanua dhana ya fasihi na fasihi ya Kiswahili (maana, aina na dhima)
-
Kuchambua tanzu za fasihi simulizi na andishi
-
-
Kuhakiki kazi za fasihi ya Kiswahili
-
Kujadili dhana ya uhakiki wa kazi za fasihi (maana ya uhakiki, mhakiki na sifa za mhakiki)
-
Kufafanua misingi ya uhakiki wa kazi za fasihi simulizi na fasihi andishi (vipengele vya fani na maudhui)
-
Kuhakiki fani na maudhui katika kazi za fasihi simulizi (mashairi na maigizo)
-
Kuhakiki fani na maudhui katika tamthiliya
-
Kutathmini namna maudhui ya kazi alizozihakiki yanavyosadifu jamii inayomzunguka
-
-
Kubuni kazi za fasihi ya Kiswahili
-
Kujadili kanuni za utunzi wa nyimbo, ngonjera na maigizo
-
Kutunga nyimbo, ngonjera na maigizo
-
Kuimba nyimbo na kutamba ngonjera
-
Kuigiza maigizo
-
-
-
-
Kufanya tafsiri sahili katika lugha ya Kiswahili
-
Kujadili dhana, misingi, kanuni, na hatua za tafsiri
-
Kutafsiri matini fupi sahili
-
Kutatua changamoto zinazojitokeza katika kutafsiri matini
-
-
Kuhariri matini mbalimbali za Kiswahili
-
Kujadili dhana, kanuni na misingi ya uhariri
-
Kuhariri matini fupi za Kiswahili
-
-