Kiswahili Darasa la III Syllabus
-
-
Ishara
-
Kubainisha mawasiliano ya ishara.
-
Kujadili ishara za mawasiliano.
-
Kutumia ishara katika mawasiliano.
-
-
Mazungumzo
-
Kufafanua sifa za mazungumzo
-
Kueleza aina za mazungumzo
-
Kuwasiliana kwa kuzungumza
-
-
Maandishi
-
Kuainisha mawasiliano ya maandishi
-
Kueleza aina za mawasiliano ya maandishi
-
Kuwasiliana kwa maandishi
-
-
-
-
Kusoma kwa Mazoezi (habari fupi isiyozidi maneno 300)
-
Kuainisha alama za uandishi
-
Kueleza matumizi ya alama za uandishi
-
Kusoma kwa kasi kwa kuzingatia alama za uandishi
-
-
Kusoma kwa ufahamu (habari fupi isiyozidi maneno 300 dawa za kulevya)
-
Kubainisha maneno teule ya habari
-
Kujibu maswali kutokana na habari
-
Kufupisha habari
-
-
Kusoma nambari kwa maneno (201-300)
-
Kubainisha nambari kwa maneno
-
Kulinganisha nambari na maneno
-
Kusoma maneno ya nambari
-
-
Matumizi ya maktaba
-
Kuainisha sehemu za maktaba
-
Kubainisha alama zinazotumika maktaba
-
Kutumia vifaa vinavyopatika na maktaba katika sehemu ya kusomea watoto
-
-
-
-
Hati (maneno yasiyozidi mia moja 100)
-
Kuchambua habari fupi
-
Kuelezea matumizi ya alama za uandishi
-
Kuandika hati zinazosomek a kwa urahisi
-
-
Imla (habari fupi isiyozidi maneno hamsini 50)
-
Kuainisha maneno teule
-
Kubainisha hatua za uandishi wa imla
-
Kuandika imla fupi kwa kuzingatia alama za uandishi
-
-
Utungaji wa insha fupi za mtiririko wa picha
-
Kuainisha aina za insha
-
Kubainisha hatua za utungaji
-
Kuandika insha kwa mtiririko wa picha
-
-
Kuandika nambari kwa maneno (1-300)
-
Kubainisha maneno ya nambari teule
-
Kujadili maneno ya nambari teule
-
Kuandika nambari na maneno ya nambari
-
-
-
-
Nyakati za msingi (wakati uliopo, uliopita na ujao)
-
Kubainisha nyakati
-
-