Historia ya Tanzania na Maadili (New) Form 4 Syllabus
-
-
Kuchambua chimbuko la uliberali na utandawazi
-
Kufafanua dhana ya uliberali na utandawazi
-
Kubaini vichocheo vilivyo- sababisha Tanzania kuingia katika mfumo wa uliberali na utandawazi
-
Kueleza athari za uliberali na utandawazi katika mifumo ya uchumi, utamaduni, siasa na maadili
-
Kubaini jitihada zinazohukuliwa na Tanzania kudhibiti athari mbaya za uliberali na utandawazi
-
-
Kuishi maadili mema ya Kitanzania wakati wa uliberali na utandawazi
-
Kujadili matendo ya uadilifu katika muktadha wa uliberali na utandawazi
-
Kujadili mikakati mbalimbali ya kuhamasisha na kuelimisha jamii kuhusu maadili ya Kitanzania
-
-
-
-
Kueleza muundo na kazi za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
-
Kuchambua muundo na kazi za mhimili tendaji (Executive) ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
-
Kuchambua muundo na kazi za Bunge la Jamhuri na za Baraza la Wawakilishi Zanzibar
-
Kuchambua muundo na kazi za Mahakama katika pande zote za Muungano
-
-
Kubaini muundo na kazi za Serikali za Mitaa
-
Kueleza dhana na chimbuko la serikali za mitaa
-
Kuchambua muundo na kazi za serikali za mitaa katika ngazi mbalimbali za Jamhuri ya Muungano
-
-
-
-
Kutumia misingi ya utafiti wa kihistoria kufanya kazimradi
-
Kukamilisha kazimradi iliyoanza Kidato cha III na kuiwasilisha kwa tathmini
-
-