Kiswahili (New) Form 4 Syllabus
-
-
Kuwasiliana kwa ufasaha kwa njia ya mazungumzo
-
Kuigiza usaili kwa kuzungumza na kuandika
-
-
Kuwasiliana kwa njia ya maandishi katika miktadha mbalimbali
-
Kuandika wasifukazi na tawasifu
-
-
-
-
Kuhakiki kazi za fasihi ya Kiswahili
-
Kujadili dhana ya mashairi andishi
-
Kuhakiki fani na maudhui katika mashairi andishi
-
Kuhakiki fani na maudhui katika riwaya
-
Kuhusianisha kazi za fasihi na maisha halisi
-
-
Kubuni kazi za fasihi ya Kiswahili
-
Kujadili kanuni za utunzi wa hadithi fupi simulizi na andishi
-
Kutunga hadithi fupi simulizi na andishi
-
Kutamba hadithi
-
-
-
-
Kufanya tafsiri sahili katika lugha ya Kiswahili
-
Kutafsiri matini ndefu sahili
-
Kutathmini matini zilizotafsiriwa
-
-
Kuhariri matini mbalimbali za Kiswahili
-
Kuhariri matini ndefu za Kiswahili
-
Kutathmini matini zilizohaririwa
-
-
Kufanya ukalimani sahili kwa lugha ya Kiswahili
-
Kujadili dhana na misingi ya ukalimani
-
Kueleza stadi muhimu katika ukalimani
-
Kukalimani mazungumzo mafupi na sahili katika miktadha mbalimbali
-
-