Historia ya Tanzania na Maadili (New)
Kutathmini historia ya Tanzania na maadili wakati wa uliberali, 1986 hadi sasa
Kutathmini historia ya Tanzania na maadili wakati wa uliberali, 1986 hadi sasa
Kuchambua chimbuko la uliberali na utandawazi
Dhana ya uliberali na utandawazi
Kufafanua dhana ya uliberali na utandawazi
Vichocheo vilivyo- sababisha Tanzania kuingia katika mfumo wa uliberali na utandawazi
Kubaini vichocheo vilivyo- sababisha Tanzania kuingia katika mfumo wa uliberali na utandawazi
Athari za uliberali na utandawazi katika mifumo ya uchumi, utamaduni, siasa na maadili
Kueleza athari za uliberali na utandawazi katika mifumo ya uchumi, utamaduni, siasa na maadili
Jitihada zinazochukuliwa na Tanzania kudhibiti athari mbaya za uliberali na utandawazi
Kubaini jitihada zinazohukuliwa na Tanzania kudhibiti athari mbaya za uliberali na utandawazi
Kuishi maadili mema ya Kitanzania wakati wa uliberali na utandawazi
Matendo ya uadilifu katika muktadha wa uliberali na utandawazi
Kujadili matendo ya uadilifu katika muktadha wa uliberali na utandawazi
Mikakati mbalimbali ya kuhamasisha na kuelimisha jamii kuhusu maadili ya Kitanzania
Kujadili mikakati mbalimbali ya kuhamasisha na kuelimisha jamii kuhusu maadili ya Kitanzania
Listening to this topic