Fasihi ya Kiswahili (New) Form 4 Syllabus

    1. Kuhakiki kazi mbalimbali za fasihi ya Kiswahili
      1. Kuhakiki fani na maudhui katika nyimbo za zamani (kabla ya mwaka 1990) na za kisasa (baada ya mwaka 1990)
      2. Kuhakiki fani na maudhui katika nyimbo za taarabu za zamani (kabla ya mwaka 1990) na za kisasa (baada ya mwaka 1990)
      3. Kuhakiki fani na maudhui ya kifasihi katika filamu zilizotafsiriwa
    1. Kujenga ujumi na falsafa ya Kiafrika katika kazi za fasihi
      1. Kuhakiki riwaya zenye ujumi na falsafa ya Kiafrika
      2. Kuhakiki ngano zenye ujumi na falsafa ya Kiafrika
      3. Kuhakiki nyimbo za Kiswahili zenye ujumi na falsafa ya Kiafrika
      4. Kujadili nafasi ya ujumi na falsafa ya Kiafrika katika jamii
    2. Kutumia kazi za fasihi katika kujenga hoja zenye mantiki
      1. Kutumia riwaya kuandika hotuba zenye hoja za kimantiki
      2. Kutumia maigizo kujenga hoja kimantiki katika usaili
      3. Kutumia ngonjera kujenga hoja kimantiki katika mawasiliano ya kitaaluma
    1. Kutunga kazi sahili za kifasihi
      1. Kuchambua kanuni za utunzi wa tamthiliya
      2. Kutunga tamthiliya fupi
      3. Kuchambua kanuni za utunzi wa riwaya
      4. Kutunga riwaya sahili
      5. Kuchambua kanuni za utunzi wa vichekesho
      6. Kutunga vichekesho
    2. Kutambua fursa zinazotokana na fasihi ya Kiswahili
      1. Kubaini fursa za utunzi wa kazi za kifasihi
      2. Kuchambua fursa za kutafsiri na kuhariri kazi za kifasihi
      3. Kuchambua fursa za kuandaa filamu zinazotokana na kazi za kifasihi
      4. Kuchambua fursa za uandishi wa vitabu vya fasihi ya watoto
      5. Kuchambua fursa za uchapishaji wa kazi za fasihi
      6. Kuhusianisha fursa za kazi za kifasihi na TEHAMA