Kuandika
Kuandika sentensi na habari fupi kwa kuzingatia kanuni za uandishi
Kuandika sentensi na habari fupi kwa kuzingatia kanuni za uandishi
Kunakili hadithi fupi na kuweka alama nne za uandishi
Hadithi zinanakiliwa na kuwekwa alama za uandishi kwa usahihi
Kuandika aya kuhusu taarifa fulani kwa mtiririko wa matukio kwa kuzingatia alama za uandishi
Uandishi wa aya kuhusu taarifa fulani kwa kuzingatia alama za uandishi unafanyika kwa usahihi.
Kuandika sentensi fupi kwa kuzingatia matumizi ya alama ya mkato (,), nukta (.), kuuliza (?) na mshangao (!) kwa usahihi.
Uandikaji wa sentensi na habari fupi zinazoonesha matumizi ya alama nne za uandishi ( . , ? !) unafanyika kwa usahihi.
Listening to this topic