Kuandika

Kuumba herufi na kukuza mwandiko
♿ Accessibility: | | | |

Kuumba herufi na kukuza mwandiko

Kuandika maneno kwa mwandiko wa kuunga
Uandikaji wa maneno kwa mwandiko wa kuunga unafanyika kwa usahihi.
Kutumia kalamu kuumba herufi za kuunga ili kukuza mwandiko
Uandikaji wa herufi za mwanzo za majina ya picha teule za wanyama, matunda na vifaa vya ndani kwa mwandiko wa kuunga unafanyika kwa usahihi.
Kuandika herufi za mwanzo za majina ya picha teule za matunda, wanyama, na vifaa vya ndani kwa mwandiko wa kuunga
Uandikaji wa herufi za mwanzo za majina ya picha teule za matunda, wanyama, na vifaa vya ndani kwa mwandiko wa kuunga kwa usahihi.
Listening to this topic