Kuandika

Uumbaji wa herufi
♿ Accessibility: | | | |

Uumbaji wa herufi

Kuandika sentensi zenye maneno yanayojumuishaherufi mwambatano (sh, ny, ng, nd, th, mb, kw) kwa kunakili na kwa imla.
Uandikaji wa sentensi zenye maneno yanayojumuisha herufi mwambatano (sh, ny, ng, nd, th, mb, kw) kwa kunakili na kwa imla unafanyika kwa usahihi.
Kuandika kifungu linganifu cha habari kwa kunakili na imla.
Uandikaji wa kifungu linganifu cha habari kwa kunakili na imla unafanyika kwa usahihi.
Kutumia alama nne za uandishi katika kuandika sentensi. (Nukta, mkato, alama ya kuuliza na ya mshangao).
Utumiaji wa alama za uandishi (nukta, mkato, alama ya kuuliza na alama ya mshangao) katika kuandika sentensi unafanyika kwa usahihi.
Kuandika herufi kubwa na maneno yenye herufi kubwa za irabu (A, E, I, O, U) na konsonanti za kundi la kwanza. ( B, M, K, D, N) na makundi mengine.
Uandikaji wa herufi kubwa na maneno yenye kubwa za irabu (a, e, i, o, u) na konsonanti za kundi la kwanza. ( b, m, k, d, na makundi mengine unafanyika kwa usahihi.
Kuandika konsoanti na maneno yenye konsonanti hiyo katika daftari la mwandiko (Daftari lenye mistari mikubwa na midogo).
Uandikaji wa konsonanti kumi na tisa na maneno yake katika daftari la mwandiko unafanyika kwa usahihi.
Kuchora michoro ya konsonanti na kuandika konsonanti (b, m, k, d, n); (l,t,p,ch,s,f,j); (g,y, z, h, r, w, v ch,).
Uchoraji wa michoro ya konsonanti na kuandika konsonanti unafanyika kwa usahihi.
Kuandika maneno yanayoundwa na herufi za irabu
Uandikaji wa maneno yanayoundwa na herufi za irabu unafanyika kwa usahihi.
Kuchora michoro ya irabu na kuumba herufi za irabu.
Uchoraji wa michoro ya irabu na uumbaji wa herufi za irabu unafanyika kwa usahihi.
Listening to this topic