Kuandika
Ujenzi wa stadi za kuandika
Ujenzi wa stadi za kuandika
Kuchora kwa kutumia penseli na daftari na kupaka rangi ili kujenga stadi za kutumia penseli na daftari.
Uchoraji kwa kutumia penseli na daftari na kupaka rangi ili kujenga stadi za kutumia penseli na daftari unafanyika kwa usahihi.
Kuchora kwa kunakili, kufuatisha na kubuni michoro kwa kutumia chaki na kibao ili kupata maumbo mazuri zaidi na stadi za kutumia vifaa
Uchoraji kwa kunakili, kufuatisha na kubuni michoro kwa kutumia chaki na vibao unafanyika kwa usahihi.
Kuchora michoro mbalimbali mchangani kwa vidole na vijiti ili kupata dhana ya herufi inayotakiwa kuandika na stadi za uumbaji wa maumbo.
Uchoraji wa michoro mbalimbali mchangani kwa vidole na vijiti ili kupata dhana ya herufi inayotakiwa kuandikwa na stadi za uumbaji wa maumbo unafanyika kwa usahihi.
Listening to this topic