Kusoma
Kujenga ufahamu katika kusoma na kusikiliza
Kujenga ufahamu katika kusoma na kusikiliza
Kuhusianisha habari/hadithi na uzoefu wa maisha/maarifa ya awali na hadithi nyingine ili kujenga ufahamu na umiliki wa habari katika matini.
Uhusianishaji wa habari/hadithi na uzoefu wa maisha/maarifa ya awali na hadithi nyingine ili kujenga ufahamu na umiliki wa habari kwa usahihi.
Kutumia kifungu cha habari kubaini msamiati mpya uliotumika ili kukuza ufahamu wa kusoma
Ubainishaji wa msamiati mpya na uliotumika kukuza ufahamu wa kusoma unafanyika kwa usahihi.
Kutumia kifungu cha habari kusoma na kujibu maswali, yenye kujibu maswali, yenye kupima ufahamu na kkuza msamiati kwa usahihi
Usomaji wa kifungu cha habari unafanyika kwa usahihi na kujibu maswali yenye kupima ufahamu na kukuza msamiati kwa usahihi.
Kutumia picha katika kifungu cha habari kueleza sifa za wahusika katika hadithi
Uelezaji wa sifa za wahusika katika hadithi unafanyika kwa usahihi.
Kutumia kifungu cha habari kutabiri matukio
Utabiri wa matukio kwa kutumia kifungucha habari unafanyika kwa usahihi.
Listening to this topic