Kusoma
Utambuzi wa sauti za herufi
Utambuzi wa sauti za herufi
Kuunda na kusoma sentensi zinazotokana na maneno yaliyoundwa na silabi za herufi mwambatano na silabi za aina nyingine kwa kutumia kadi za maneno.
Uundaji na usomaji wa sentensi zinazotokana na maneno yaliyoundwa na silabi za herufi mwambatano na silabi za aina nyingine kwa kutumia kadi za maneno umefanyika kwa usahihi.
Kutenganisha kwa kutamka sauti mojamoja zilizounda maneno yanayotokana silabi za herufi na mwambatano na silabi za aina nyingine.
Utenganishaji kwa kutamka sauti moja moja zilizounda maneno yanayotokana silabi za herufi na mwambatano na silabi za aina nyingine unafanyika kwa usahihi.
Kuunganisha silabi za herufi mwambatano na silabi za aina nyingine ili kuunda maneno na kuyatamka
Uunganishaji wa silabi za herufi mwambatao na silabi za aina nyingine ili kuunda maneno na kuyatamka unafanyika kwa usahihi.
Kuunganisha na kuzitamka herufi mwambatano saba na herufi za irabu ili kupata silabi kwa kutumia kadi za herufi na kuzitamka.
Kuhusianisha sauti na herufi mwambatano saba (ny, nd, sh, ng, th, kw, mb) kwa kutumia kadi za herufi mwambatano.
Uhusianishaji wa sauti na herufi mwambatano saba (ny, nd, , sh, ng, th, kw, mb) kwa kutumia kadi za herufi mwambatano unafanyika kwa usahihi.
Kuunda na kusoma sentensi zinazoundwa na maneno yanayotokana na silabi za konsonanti za kila kundi kwa kutumia kadi za maneno.
Uundaji na usomaji wa sentensi zinazotokana na maneno yanayotokana na silabi za konsonanti za kila kundi unafanyika kwa usahihi.
Kuhusianisha herufi ndogo na kubwa zote kwa kuzisoma katika maneno.
Uhusianishaji wa herufi ndogo na kubwa zote kwa kuzisoma katika maneno unafanyika kwa usahihi.
Kutenganisha kwa kutamka sauti moja moja zilizounda maneno yanayotokana na herufi 24 kwa kutumia kadi za herufi.
Utenganishaji wa sauti moja moja zilizounda maneno yanayotokana na herufi 24 kwa kutumia kadi za herufi unafanyika kwa usahihi.
Kuunganisha silabi zinazotokana na herufi zote ishirini na nne ili kuunda maneno na kuyatamka.
Uunganishaji wa silabi zinazotokana na herufi zote ishirini na nne ili kuunda maneno na kuyatamka unafanyika kwa usahihi.
Kutenganisha kwa kutamka sauti za konsonanti na irabu zilizounda silabi.
Utenganishaji wa sauti za konsonanti na irabu zilizounda silabi kwa kuzitamka unafanyika kwa usahihi.
Kubaini majina ya vitu yanayoanza na silabi za irabu na kutenganisha silabi kwa kutamka.
Ubainishaji wa majina ya vitu yanayoanza na silabi za irabu na utenganishaji wa silabi kwa kutamka unafanyika kwa usahihi.
Kubaini majina ya wanafunzi yanayoanza na silabi za irabu katika darasa na kutenganisha silabi hizo kwa kuzitamka.
Ubainishaji wa majina ya wanafunzi yanayoanza na silabi za irabu na utenganishaji wa silabi hizo kwa kuzitamka unafanyika kwa usahihi.
Kubaini silabi zinazoundwa na irabu.
Ubainishaji wa silabi zinazoundwa na irabu unafanyika kwa usahihi.
Kuunganisha na kutamka sauti za konsonanti na irabu ili kuunda silabi.
Uunganishaji na utamkaji wa sauti za konsonanti na irabu ili kuunda silabi unafanyika kwa usahihi.
Kuhusianisha sauti na konsonanti (b, m, k, d, n); (l, t, p, s, f, j); (g, y z h, r, w, v, ch) kwa kutumia kadi za herufi.
Uhusianishaji wa sauti na herufi za konsonanti kwa kuonesha kadi na kutamka umefanyika kwa usahihi
Kutenganisha sauti za irabu zilizounda maneno kwa kuzitamka.
Utenganishaji wa sauti za irabu zilizounda maneno kwa kuzitamka unafanyika kwa usahihi.
Kuunganisha na kutamka sauti za irabu ili kuunda maneno.
Uunganishaji na utamkaji wa sauti za irabu ili kuunda maneno unafanyika kwa usahihi.
Kuhusianisha sauti na herufi za irabu (a e i o u) kwa kutumia kadi kuzitamka.
Uhusianishaji wa sauti na herufi za irabu kwa kuzionesha katika kadi na kuzitamka unafanyika kwa usahihi.
Listening to this topic