Kusoma

Ufahamu wa kusoma na kusikiliza
♿ Accessibility: | | | |

Ufahamu wa kusoma na kusikiliza

Kujenga maana ya hadithi kwa kuuliza na kujibu maswali.
Ujenzi wa maana ya hadithi kwa kuuliza na kujibu maswali unafanyika kwa usahihi.
Kujenga taswira ya muda wa tukio na mahali pa tukio katika habari teule.
Ujenzi wa taswira ya muda wa tukio na mahali pa tukio unafanyika kwa usahihi.
Kutabiri maudhui ya habari kwa kutumia picha, jina la kitabu, hadithi na mwendelezo wa hadithi.
Utabiri wa maudhui ya habari unafanyika kwa usahihi kwa kutumia picha jina la kitabu, hadithi na mwendelezo wa hadithi.
Kusoma kifungu linganifu cha habari kwa ufahamu.
Usomaji wa kifungu linganifu cha habari kwa ufahamu unafanyika kwa usahihi.
Kusikiliza kifungu linganifu cha habari kwa ufahamu.
Usikilizaji wa kifungu linganifu cha habari kwa ufahamu unafanyika kwa usahihi.
Kutafsiri na kuelezea picha kwa kutumia chati za picha.
Utafsiri na uelezeaji wa picha unafanyika kwa usahihi.
Listening to this topic