Kusoma

Kusoma kwa ufasaha
♿ Accessibility: | | | |

Kusoma kwa ufasaha

Kusoma kifungu linganifu cha habari kwa kufuata vituo na sauti ya hisia. (Nukta, mkato, alama ya kuuliza na alama ya mshangao).
Usomaji wa kifungu linganifu cha habari kwa kufuata vituo na sauti ya hisia unafanyika kwa usahihi.
Kusoma kifungu linganifu cha habari kwa kasi inayostahili.
Usomaji wa kifungu linganifu cha habari kwa kasi inayostahili unafanyika kwa usahihi.
Kusoma kifungu cha habari kwa kuzingatia matamshi sahihi ya maneno.
Usomaji wa kifungu cha habari kwa kuzingatia matamshi sahihi ya maneno unafanyika kwa usahihi.
Listening to this topic