Kusoma

Kukuza Lugha ya Mazungumzo katika Kuwasiliana
♿ Accessibility: | | | |

Kukuza Lugha ya Mazungumzo katika Kuwasiliana

Kusimulia hadithi.
Usimuliaji wa hadithi unafanyika kwa usahihi.
Kusimulia matukio mbalimbali kuhusu sherehe
Usimuliaji wa matukio mbalimbali kuhusu sherehe unafanyika kwa usahihi.
Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo kuhusu mchezo teule baina ya wanafunzi wawili.
Uanzishaji na uendelezaji wa mazungumzo baina ya wanafunzi wawili kuhusu mchezo teule unafanyika kwa usahihi.
Kutumia lugha ya heshima katika kuomba ruhusa na kuomba vitu.
Lugha ya heshima katika kuomba ruhusa na kuomba vitu inatumika kwa usahihi.
Kusalimiana na kuagana kati ya watoto na watu wazima na watoto wenyewe kwa wenyewe.
Kusalimiana na kuagana na watu wote kunafanyika kwa usahihi.
Kujitambulisha mwenyewe na kutambulisha watu wengine.
Utambulisho wa mtoto mwenyewe na utambulisho wa watu wengine unafanyika kwa usahihi.
Listening to this topic