Kiswahili (New) Form 2 Syllabus
-
-
Kukuza uelewa wa sarufi ya Kiswahili
-
Kuandika habari kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi (kwa kuzingatia ngeli za nomino na viambishi vya upatanisho)
-
Kuzungumza kwa kutumia miundo changamani ya sentensi katika miktadha mbalimbali (sentensi ambatani na changamani)
-
Kuandika matini fupi kwa kutumia miundo changamani ya sentensi
-
-
-
-
Kusikiliza na kuelewa mazungumzo
-
Kusikiliza habari changamani kwa umakini, udadisi na kuuliza maswali
-
Kusikiliza mijadala/ habari changamani na kuwasilisha mawazo makuu aliyoyapata kwa kuzingatia uwazi na uwekevu
-
-
Kusoma matini kwa ufasaha na ufahamu
-
Kusoma matini ndefu changamani kwa kina na utunduizi
-
Kusoma matini ndefu changamani, kuandika muhtasari wa hoja kuu zilizomo na kutoa maoni juu ya hoja hizo
-
-
-
-
Kuwasiliana kwa ufasaha kwa njia ya mazungumzo
-
Kuzungumza kwa kutumia mitindo mbalimbali ya lugha ya mazungumzo na kwa kuzingatia miktadha, umri, jinsia na uhusiano
-
Kutumia kwa usahihi ishara zinazoambatana na mazungumzo katika kuwasiliana
-
-
Kuwasiliana kwa njia ya maandishi katika miktadha mbalimbali
-
Kuandika insha za wasifu na hoja (za kisanaa na zisizo za kisanaa)
-
Kusikiliza hoja na kuandika kumbukumbu
-
-