Kiswahili (New) Form 1 Syllabus
-
-
Kutambua Kiswahili kama kielelezo cha utaifa na utambulisho wa Mtanzania
-
Kutumia Kiswahili katika mijadala mbalimbali kwa kuzingatia utamaduni wa Mtanzania (mf. matumizi ya tafsida na uteuzi wa maneno kulingana na mila na desturi za Mtanzania)
-
-
Kukuza uelewa wa sarufi ya Kiswahili
-
Kusimulia habari na matukio kwa kuzingatia kiimbo, mkazo, na lafudhi pamoja na dhima zake
-
Kuandika hadithi kwa kuzingatia mpangilio na uhusiano sahihi wa maneno (nomino, vivumishi, vielezi, viwakilishi, vitenzi, vihisishi, vihusishi na viunganishi) katika sentensi
-
Kuandika hadithi kwa kuzingatia mpangilio na uhusiano sahihi wa sentensi katika aya
-
-
-
-
Kusikiliza na kuelewa mazungumzo
-
Kusikiliza mazungumzo changamani na kujibu maswali
-
Kueleza kwa muhtasari mazungumzo changamani aliyoyasikiliza
-
Kushiriki katika majadiliano ya masuala mbalimbali kwa kuzingatia sifa za lugha ya mazungumzo (mf. lugha ya mkato, kupeana nafasi)
-
-
Kusoma matini kwa ufasaha na ufahamu
-
Kusoma matini fupi changamani kwa kuzingatia alama za uandishi, kasi sahihi na kiimbo cha tungo
-
Kueleza namna alama za uandishi na kiimbo vinavyoathiri ujumbe katika usomaji wa matini fupi changamani
-
Kuandika hoja kuu kutoka katika matini fupi changamani alizozisoma kwa kuzingatia sifa za lugha ya maandishi (mf. alama za uandishi, miunganiko sahihi ya tungo, usanifu)
-
Kutumia TEHAMA kutafuta maana ya maneno mapya kutoka katika matini aliyoisoma
-
-
-
-
Kutumia kamusi katika miktadha mbalimbali
-
Kutumia msamiati kwa usahihi katika mazungumzo na maandishi
-
Kutumia taarifa mbalimbali za kamusi katika mawasiliano ya mazungumzo na maandishi
-
-
Kuwasiliana kwa ufasaha kwa njia ya mazungumzo
-
Kuzungumza kwa ufasaha katika miktadha mbalimbali (mf. nyumbani, shuleni na hospitalini)
-
Kutumia lugha kwa ufasaha katika malumbano ya hoja
-
-
Kuwasiliana kwa njia ya maandishi katika miktadha mbalimbali
-
Kujieleza kwa ufasaha kwa maandishi katika miktadha mbalimbali
-
-