Kiswahili (New)
Kumudu lugha ya mazungumzo na ya maandishi

Kusikiliza na kuelewa mazungumzo
Kusikiliza mazungumzo changamani na kujibu maswali

Kueleza kwa muhtasari mazungumzo changamani aliyoyasikiliza

Majadiliano ya masuala mbalimbali kwa kuzingatia sifa za lugha ya mazungumzo (mf. lugha ya mkato, kupeana nafasi)
Kushiriki katika majadiliano ya masuala mbalimbali kwa kuzingatia sifa za lugha ya mazungumzo (mf. lugha ya mkato, kupeana nafasi)
Kusoma matini kwa ufasaha na ufahamu
Kusoma matini fupi changamani kwa kuzingatia alama za uandishi, kasi sahihi na kiimbo cha tungo

Kueleza namna alama za uandishi na kiimbo vinavyoathiri ujumbe katika usomaji wa matini fupi changamani

Kuandika hoja kuu kutoka katika matini fupi changamani alizozisoma kwa kuzingatia sifa za lugha ya maandishi (mf. alama za uandishi, miunganiko sahihi ya tungo, usanifu)

Kutumia TEHAMA kutafuta maana ya maneno mapya kutoka katika matini aliyoisoma

Listening to this topic