Kuandika
Kuandika kwa mfuatano sahihi wa matukio
Kuandika kwa mfuatano sahihi wa matukio
Kuandika hadithi fupi anayoifahamu kwa mtiririko wa matukio wenye mantiki
Uandishi wa hadithi fupi anayoifahamu kwa mtiririko wa matukio wenye mantiki sahihi.
Kupanga sentensi zilizochanganywa ili kuleta mtiririko wenye mantiki
Upangaji wa sentensi zilizochanganywa ili kuleta mtiririko ulio sahihi.
Kuunda sentensi zenye mtiririko mzuri kwa kutumia picha teule.
Uundaji wa sentensi zenye mtiririko mzuri kwa kutumia picha teule unafanyika kwa usahihi.
Kupanga sentensi tano zenye maneno kadiri ya mtiririko wa matukio kwa usahihi.
Upangaji wa sentensi tano zenye maneno kadiri ya mtiririko wa matukio kwa usahihi.
Listening to this topic