Kuandika

Kuandika habari fupi zenye kueleweka na ushikamani
♿ Accessibility: | | | |

Kuandika habari fupi zenye kueleweka na ushikamani

Kuandika hadithi fupi yenye aya mbili (kila aya maneno 15) kutokana na chati ya picha
Uandishi wa hadithi kulingana na chati ya picha unafanyika kwa usahihi
Kutunga hadithi fupi yenye kueleweka na ushikamani kwa kutumia kadi za picha
Uandishi wa hadithi fupi yenye kueleweka na ushikamani unafanyika kwa usahihi.
Kutunga hadithi fupi yenye kueleweka na ushikamani
Utungaji wa hadithi fupi yenye kueleweka na ushikamani unafanyika kwa usahihi.
Listening to this topic