Kuandika
Kuandika kwa kueleweka na ushikamani
Kuandika kwa kueleweka na ushikamani
Kutunga sentensi zenye maneno yasiyozidi sita zenye kueleweka na ushikamani kwa kuandika.
Utungaji wa sentensi zenye maneno yasiyozidi sita, zenye kueleweka na ushikamani kwa kuandika unafanyika kwa usahihi.
Kuandika neno au maneno yaliyokosekana katika sentensi ili kukamilisha maana.
Uandikaji wa neno au maneno yaliyokosekana katika sentensi unafanyika kwa usahihi.
Kutunga sentensi zinazotokana na neno moja teule kwa kuandika.
Utungaji wa sentensi kwa kuandika kwa kutumia neno moja teule unafanyika kwa usahihi.
Kuandika sentensi sahihi kutokana na vifungu vya maneno yaliyochanganywa.
Uandikaji wa sentensi sahihi kutokana na vifungu vya maneno yaliyochanganywa unafanyika kwa usahihi.
Kuandika kwa kuunganisha sehemu mbili za sentensi ili kupata maana kamili.
Uandikaji kwa kuunganisha sehemu mbili za sentensi ili kupata maana kamili unafanyika kwa usahihi.
Listening to this topic