Kuandika

Kuandika kwa mfuatano sahihi wa matukio
♿ Accessibility: | | | |

Kuandika kwa mfuatano sahihi wa matukio

Kutunga hadithi yenye mfuatano mzuri wa matukio. kwa kuandika.
Utungaji wa hadithi yenye mfuatano mzuri wa matukio kwa kuandika unafanyika kwa usahihi.
Kuandika sentensi zenye kuonesha mfuatano wa matendo ya siku.
Uandikaji wa sentensi zenye kuonesha mfuatano wa matendo ya siku unafanyika kwa usahihi.
Kuandika kwa kupanga sentensi zilizo changanywa ili kupata mfuatano wa matukio.
Uandikaji kwa kupanga sentensi zilizochanganywa ili kupata mfuatano wa matukio unafanyika kwa usahihi.
Kuandika hadithi fupi yenye mfuatano wa matukio kutokana na picha zilizopangwa kwa mfuatano.
Uandikaji wa hadithi fupi yenye mfuatano wa matukio kutokana na picha zilizopangwa kwa mfuatano, unafanyika kwa usahihi.
Listening to this topic